Dudubaya ni ngangaripoa?

Kinachofurahisha hii thread, dudubaya kaitwa nae gasho kwa sabbu ya kusema wenzake,okay
Sasa muanzisha thread nawe umemtaja dudu a.k.a umefanya alichokifanya yeye,tukueleweje?
By the way me naona waliotajwa wajitetee wenywe tu
 
😀😀😀
 
Acha kutetea vitendo vya ushoga oil chafu konki master acha amfunge paka kengele wengine walishashindwa
Hakuna nilipotetea ushoga.. Hili jambo ni tatizo kubwa kuliko unavyodhani...
 
Aisee mkuu leo umehudumia mteja punga?? Huenda kweli ni mission ya bashite kuvuruga media fulani lakini anachokisema jamaa kinaonekana ni kweli, mwanaume hupaswi kuinyamazia dhambi huo ni ukike.
Durtete yeye alikua ananyonga hawa watu miksa kuwachapa risasi hadharani.
Mungu alichoma sodoma na gomora kwa ajili ya hii dhambi.


Hujiulizi kwanini hata katika amri haipo hii ya ufiraji/ufirwaji? hii dhambi ilikua out of syllabus kabisa ni machukizo makubwa.

Napendekeza aje na listi ya tatu huenda guilty feelings zitawafanya waache huu ushetani.
 
Mshana Jr umekumbana na dhoruba ya MAMBAZ KONK KONKORD MASTER BLACK DIRTY OIL?
Hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri na wengine pia ulipofikia... Fuatilia mada zangu kuhusu ushoga utanijua vema... Mada mbona iko wazi sana hii muktadha wake?
 
Unachomlaumu kukifanya Dudubaya kwa wengine, ndicho na wewe umekifanya hapa dhidi yake..
Je, na wewe tukupime kwenye mizani hiyo hiyo mkuu?
Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…