Dudubaya ni ngangaripoa?

Comrade Mshana Jr
KUNA KITU NIMEKIONA HAPO KWA BANDIKO LAKO, MOJA NI LAWAMA PILI KWA MWANAMME ULIYEMWELEZA HAPO.

NASHINDWA KUJUA WEWE MWENYEWE TUKUWEKE KUNDI GANI WAKATI TAYARI UNASHUSHA LAWAMA NA KUMJADILI HUYO JAMAA (sijui ndo koki)
 
Tatizo unachozungumza kinasadifu kabisa kuwa kichwani huna kitu zaidi ya uelewa wa kuvaa nguu tu...!
 
Mwenzako anataka watu "waamini" hiki ni kichekesho! mleta mada thinking capacity yake inatia mashaka sana,ni msahaulifu na uwezo wake wakuhold kumbukumbu ni mdogo sana,hii mada yeye mwenyewe anajicontradict sana na kusahau anachokitetea!
Msimamo wako ni upi sasa...unatetea mashoga...dudu sio shoga...Naona unajibebisha kwa dudu...ama wewe ndio dudu mwenyewe toa fact sasa
 
Comrade Mshana Jr
KUNA KITU NIMEKIONA HAPO KWA BANDIKO LAKO, MOJA NI LAWAMA PILI KWA MWANAMME ULIYEMWELEZA HAPO.

NASHINDWA KUJUA WEWE MWENYEWE TUKUWEKE KUNDI GANI WAKATI TAYARI UNASHUSHA LAWAMA NA KUMJADILI HUYO JAMAA (sijui ndo koki)
Kaka wewe ni mwandishi wa habari napata mashaka kwamba hata wewe hukuelewa kabisa hili bandiko
Kila uzi huwa na mambo matatu
. kichwa cha habari
. maudhui
. hitimisho
Kichwa cha habari kwenye hii mada kina alama ya kuuliza.. Tafsiri yake ni kwamba ni kichwa cha habari hojaji...
Maudhui yanaelezea hojaji ya kichwa cha habari
Hitimisho limebaki na viashiria.. Halijahitimisha kwa kutoa hukumu... Sentence ya mwisho nimesema hivi... Hizi ni dalili za.......
 
Wewe una elimu gani? hii ya kushinda jf kutwa na kuleta mada za kufikirika za kishirikina? ungekua na elimu usingeleta hii mada ya hovyo ambayo umeshindwa hata kuitetea kwa hoja,umeishia kuruka ruka tu kama Kangaroo.
Kuna tatizo jingine mbona unatoka nje ya mada....?
 
Dudu kawaharibu vijana wengi siamini kabisa...kijana unakaa kumtetea mwanaume mwenzako...amekufanya kipi ata ujibebishe kwake kiasi hicho...
 
Wewe ni katika aliyowataja majina mbona unampiga vita sana?
Sasa kama unaamini hao waliotajwa na dudu kuwa ni mashoga,kwa nini unakuwa mgumu kuamini kuwa dudu naye shoga ilihali yeye katajwa kama alivyowataja wenzie??
We hujioni kama una useng* flani hivi?
 
Sasa kama unaamini hao waliotajwa na dudu kuwa ni mashoga,kwa nini unakuwa mgumu kuamini kuwa dudu naye shoga ilihali yeye katajwa kama alivyowataja wenzie??
We hujioni kama una useng* flani hivi?
Wapi nimekwambia kua waliotajwa na dudu nimeprove kua ni mashoga? ndio maana hata aliyewataja ametaka wapimwe ili kuthibitisha,akili zako umezifungia ndani ya box?
 
Sasa kama unaamini hao waliotajwa na dudu kuwa ni mashoga,kwa nini unakuwa mgumu kuamini kuwa dudu naye shoga ilihali yeye katajwa kama alivyowataja wenzie??
We hujioni kama una useng* flani hivi?
Wengine wakitajwa kuwa ni mashoga anachekelea.

Lakini dudu baya akiitwa shoga hataki!

Hahahhaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…