Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,105
Reaction score
829,000
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo

Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.

Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.

Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.

Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.

Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!

Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.

Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao... Vinasaba hivyo ni kama
.Sauti
. Mavazi
. Umbo
. Tabia
. Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi... Lakini akipita mahali na wengine kumi... Ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye....
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu.. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme.. Mjuaji yeye na mkamilifu yeye..... Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake....
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume... Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani... Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo... Ana dalili ya vinasaba vya ushoga
Godfrey ana tabia zote hizo, kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu... Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili....
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga... Sasa hivi yuko mitandaoni... What a coming back! Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika.... Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga..

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini... Sio kupayukapayuka tu... Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
Maneno ya wazee kama nyie ni dawa
Kama mpaka mzee mshana mlozi umeongea basi dudu baya ajiangalie
 
Kutajwa katika jambo lolote baya hakufurahishi hata kidogo. Haijalishi mtajaji anaonyesha kujiamini kiasi gani kwa kile atakachokisema, mpaka itakapothibitika pasi na shaka ndipo tuna haki ya kuwajadili waliotajwa kwa namna itakavyothibitika. Aliyetaja kataja, waliotajwa wafanye nini? Kwanza wakumbuke hii sio ishu ya kutocheza ngoma za dudubaya au msanii mwingine yeyote, nooo tena big NO. Hii imeenda mbali zaidi na kugusa utu wao. Kuonyesha kuwa wewe una demu wako, wewe una mtoto, oooh this time yajayo yatafurahisha, hiyo ni mikwara mjusi. Both of you guys, stand up as men, walk in through court front doors, open case against the guy, and let the laws does its karma...Kuendeleza mipasho, mara linatokea jitu nalo linadai dudubaya nae bwabwa, inaonyesha ni kwa namna gani kuna panic na kutapatapa kwingi. Leo ni siku ya tatu and all of you, kimyaaaa.
 
Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,

Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao... Vinasaba hivyo ni kama
.Sauti
. Mavazi
. Umbo
. Tabia
. Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi... Lakini akipita mahali na wengine kumi... Ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye....
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu.. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme.. Mjuaji yeye na mkamilifu yeye..... Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake....
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume... Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani... Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo... Ana dalili ya vinasaba vya ushoga
Godfrey ana tabia zote hizo, kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu... Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili....
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga... Sasa hivi yuko mitandaoni... What a coming back! Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika.... Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga..

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini... Sio kupayukapayuka tu... Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
Jiwe gizani, ukisikia paaa ujue limekupata.

Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kutetea haki za mashoga ujue na yeye ni shoga.
 
Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo... Ana dalili ya vinasaba vya ushoga

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini... Sio kupayukapayuka tu... Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa

Unachomlaumu kukifanya Dudubaya kwa wengine, ndicho na wewe umekifanya hapa dhidi yake..
Je, na wewe tukupime kwenye mizani hiyo hiyo mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom