The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,486
- 8,916
Unataka atumie lugha nzuri kukemea ushoga??Dudu baba sio kwamba anapinga ushoga,bali anatukana watu,lugha anazizitumia za hovyohovyo za wavuta bangi
Unataka atumie lugha nzuri kukemea ushoga??Dudu baba sio kwamba anapinga ushoga,bali anatukana watu,lugha anazizitumia za hovyohovyo za wavuta bangi
India ,Nepal, South & North America na baadhi ya makabila ya kiafrikaUtamaduni wa wap
Pia yapo makabila barani Afrika ambapo wanaume wanavaa vikuku vya shanga.Zipo heren special kwa wanaume, ni utamaduni kama utamaduni mwingine tu
Yeah wapo, hasa afrika ya magharibi.Pia yapo makabila barani Afrika ambapo wanaume wanavaa vikuku vya shanga.
Ndio maana hakuna mhindi,mnepal wala mmsai wanatajwa na Dudubaya kwa majina kujihusisha na huo uchafu.Jikite na mada yawezekana mimi ni baba yako acha kutumia binafsi jenga hoja
kwenye jamii zetu nakubaliana na wewe ila sio kwenye jamii nyingine ni desturi zao tu , mfano India na Nepal ni kawaida tu
Utamaduni kwa jamii ipi?Zipo heren special kwa wanaume, ni utamaduni kama utamaduni mwingine tu
Africa magharibi!dudu anawaongelea watanzania siyo waafrica magharibiYeah wapo, hasa afrika ya magharibi.
Kinachinikera ni kuleta uchafu wazi kwenye jamii ila kama ni kufumuliwa watajua mwenyeweNdio maana hakuna mhindi,mnepal wala mmsai wanatajwa na Dudubaya kwa majina kujihusisha na huo uchafu.
Kwa sababu watu wautamaduni wanajulikana na mashoga wanajulikana.
Wanaotajwa ni watanzania wenzetu wanaojulikana wazi kuwa wameacha njia na wanafanya watoto na vijana kutamani kuwa kama wao kwa show offs wanazofanya mitandaoni na kwenye party zao za ushoga.
Ndio maana inabidi wakememewe kwa nguvu sababu wanaonekana dhahiri kuwa kinyume na;
○mila na utamaduni wa kitanzania na
makabila yao!
○wapo kinyume na asili ya kimaumbile kitabia na kimienendo.
○wapo kinyume na mafundisho ya dini zao.
○wapo kinyume na utashi wakawaida wa binadamu.
○wanafanya vitu ambavyo hata wanyama wasio na utashi hawezi kufanya maana sio asili ya viumbe.
Ndio maana wengi wanamuunga mkono dudubaya.kwa sababu ni kama ameamsha tu n zao juu ya huu uchafu.hasira ambazo tayari walikua nazo ila ni kama walikosa tu pakuanzia!
Sijamwongelea dudu soma chanzo cha ujumbe wangu polepole kabla ya kujibuAfrica magharibi!dudu anawaongelea watanzania siyo waafrica magharibi
Soma huku juu nimejibuUtamaduni kwa jamii ipi?
Namba 4 nina uhakika nayo kabisa😁😁Kuna aina ya mashoga.
1.Shoga kamili.
2.Shoga namba
3.Shoga baunsa.
4..Shoga Tlaatlaah ChoiceVariable Lucas Mwashambwa
●Kwahiyo juma lokole kusuka na kuvaa hereni na kutwa kusifia wanaume huo ni utamaduni wa kabila,dini na nchi yake?Pia yapo makabila barani Afrika ambapo wanaume wanavaa vikuku vya shanga.
Hao watu mnawajuaje wote hivyo?●Kwahiyo juma lokole kusuka na kuvaa hereni na kutwa kusifia wanaume huo ni utamaduni wa kabila,dini na yake?
●NOEL wa diamond kuvaa mavazi ya kike,kutembea na kuongea kama miss ni utamaduni wa nchi,kabila na dini yake?
●Kwa hiyo anko T kuvaa madera,kupaka wanja,mekap nk ni utamaduni wa dini,nchi na kabila lake?
●ommy dimposi kuvaa hereni,sket,kujisifia kuwa kapata hela kwa kukata sana viuno huo ni utamaduni wa nchi,kabila au dini yake?
Hawa mashoga maarufu lazima wakoseshwe raha maana watoto na vijana wanawafatilia na kuwaona kama mfano.
Lazima kizazi kijue kuwa tabia za hao watu ni mbaya na jamii inazichukia.
Ni watu maarufu wanaotumika kusambaza ushoga.Hao watu mnawajuaje wote hivyo?
Hapa sasa tumeanza kuongea lugha mojaKinachinikera ni kuleta uchafu wazi kwenye jamii ila kama ni kufumuliwa watajua mwenyewe
Kampeni ingeanzia kwenu wanaume kwa wanaume coz hao hawafanywi na wanawake..!!Taarifa za kukekemea ni lazima zienee ili mashoga wajue hawatakiwi na wanachukiwa haswa!
maana saizi wamejiachia sana,hawana hofu wala aibu.
Serikali ipo kimya,alijaribu mwakyembe wakamzima.
Viongozi wa dini wapo kimya.
Ndio maana watu wenye akili timamu tumeona umuhimu wa kumuunga mkono dudu baya.maana kampeni yake ni tukufu.
Unataka atumie lugha nzuri kukemea ushoga??kwahiyo
Jambo la kupinga ushoga ni jema kwa mustakabari wa taifa lakini mimi namuona dudubaya yuko zaidi kwenye kutafuta kickUnataka atumie lugha nzuri kukemea ushoga??