min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,277
- 171,079
Soma ulichokiandika halafu jisikilize tenaChoko ni Choko tu...wewe utakuwa choko
Soma ulichokiandika halafu jisikilize tenaChoko ni Choko tu...wewe utakuwa choko
Hali ni mbaya jamani tujiepushe na uchafu huo na tuupinge kwa nguvu zote binafsi nikimuona mwanaume kavaa heren simtofautishi na Asha kipini wa KirumbaZipo heren special kwa wanaume, ni utamaduni kama utamaduni mwingine tu
Na kubaliana na wewe kabisaa, hakuna cha hereni za kiume hicho kitu hakipoUtamaduni wa wapi?
Wewe na Baba yako mnavaa hereni?
Mnashindana urembo na dada zenu au?
Huo ndio utamaduni wa mashoga sasa.
Ni jamii za wamasai tu ndio wenye huo utamaduni.tena nao hawavai vai tu kama urembo bali mila zao,ambao nao wanaanza kuacha taratibu.
wengine wote ni tatizo!
Wewe unaona wasira ana dalili yoyote ya kike kike kama ommy dimposi?Wasira ushawahi kuona mke wake .japo naye anaitajika kwenye list ya ommy dimposi
Yeah kwenye jamii zetu tunaona hivyo hasa vijijini, ila ukitembea duniani utaona ni utamaduni wa kawaida kabisa bila hata kuweka hayo mamboHali ni mbaya jamani tujiepushe na uchafu huo na tuupinge kwa nguvu zote binafsi nikimuona mwanaume kavaa heren simtofautishi na Asha kipini wa Kirumba
Kuna aina ya mashoga.Wewe unaona wasira ana dalili yoyote ya kike kike?
Hao wanaokemewa wameonesha ishara zote za kike ilhali wao ni wanaume kwa kisingizio cha kila mtu aishi maisha yake.
Dunia ipi mkuu maana hata huko unaposema Dunian wao suala la kupigwa miti kwa mwanaume ni sawa na maheren yao sasa je kwa utamadun wetu huku unaona ni sawa? Mf wewe hapo kwako baba yako avae miheren na kutoboa pua kaka zako kadhalika wajomba zako wewe utaona ni sawa?Yeah kwenye jamii zetu tunaona hivyo hasa vijijini, ila ukitembea duniani utaona ni utamaduni wa kawaida kabisa bila hata kuweka hayo mambo
Sasa hiyo ya kuona ni sawa inategemea, Tembea uone hata mimi nilikua na mawazo kama yako, ila nikaona ni tamaduni za watu , na wala haimaanishi kuwa ni shoga , hapo nimeongelea heren tu hayo ya vipini umeleta weweDunia ipi mkuu maana hata huko unaposema Dunian wao suala la kupigwa miti kwa mwanaume ni sawa na maheren yao sasa je kwa utamadun wetu huku unaona ni sawa? Mf wewe hapo kwako baba yako avae miheren na kutoboa pua kaka zako kadhalika wajomba zako wewe utaona ni sawa?
Kwa hiyo kina Messi neymar Ronaldo ni mashoga?Dunia ipi mkuu maana hata huko unaposema Dunian wao suala la kupigwa miti kwa mwanaume ni sawa na maheren yao sasa je kwa utamadun wetu huku unaona ni sawa? Mf wewe hapo kwako baba yako avae miheren na kutoboa pua kaka zako kadhalika wajomba zako wewe utaona ni sawa?
Dunia ipi mkuu maana hata huko unaposema Dunian wao suala la kupigwa miti kwa mwanaume ni sawa na maheren yao sasa je kwa utamadun wetu huku unaona ni sawa? Mf wewe hapo kwako baba yako avae miheren na kutoboa pua kaka zako kadhalika wajomba zako wewe utaona ni sawa?Yeah kwenye jamii zetu tunaona hivyo hasa vijijini, ila ukitembea duniani utaona ni utamaduni wa kawaida kabisa bila hata kuweka hayo mambo
Cha muhimu tupinge ushoga kwa nguvu zote utajisikiaje ukikuta mtoto wako wanamfukua mtaro?Sasa hiyo ya kuona ni sawa inategemea, Tembea uone hata mimi nilikua na mawazo kama yako, ila nikaona ni tamaduni za watu , na wala haimaanishi kuwa ni shoga , hapo nimeongelea heren tu hayo ya vipini umeleta wewe
Wewe unavaa ki kike kike?Ndio nakujulisha leo , wapo wanaovaa na sio kwamba ni mashoga , habari za mimi na baba yangu sifikiri kama zina tija hapa
Nina mabinti tu, sio kupinga tu hata kuwazungumzia tu nakereka , nimetoa ufafanuzi wa hereni tu hapoDunia ipi mkuu maana hata huko unaposema Dunian wao suala la kupigwa miti kwa mwanaume ni sawa na maheren yao sasa je kwa utamadun wetu huku unaona ni sawa? Mf wewe hapo kwako baba yako avae miheren na kutoboa pua kaka zako kadhalika wajomba zako wewe utaona ni sawa?
Cha muhimu tupinge ushoga kwa nguvu zote utajisikiaje ukikuta mtoto wako wanamfukua mtaro?
Jikite na mada yawezekana mimi ni baba yako acha kutumia binafsi jenga hojaWewe unavaa ki kike kike?
Fuatilia kidogo ripoti ya mwakyembe alipokua waziri upate uelewa zaidi,unless otherwise na wewe utawapa watu wasiwasi juu yako.
Kwa uchache tu;
Alisema wapo wanaofundishwa na wanalipwa na mqNGO's yaliyobeba hizo agenda na aliyataja kabisa.
Wanaume wanafundishwa tabia za kike,na wanawake wanafundishwa tabia za kiume.kwa nadharia na vitendo.sijui unaelewa????
Wasanii wanalipwa kupromote kwa kuwafanya watu waone ni kawaida au ni kazi tu ya sanaa mwanaume kujifanya mwanamke,na wanaingiza pesa nyingi.sijui unaelewa?? Sio mimi ni ripoti ya mwakyembe!
Wengine wanaiga hizo tabia kwa sababu zinafanywa na watu maarufu na wenye ushawishi.
Sasa anapotokea mtu kama dudu baya licha uchizi wake kupinga huu ushetani uliokaliwa kimya na mamlaka na taasisi za dini.
●kila mwanaume timamu lazima tu automatically amuunge mkono!
uchoko huo..mwanaume kuvaa hereni,kutoga pua, kuvaa mikufu, vikuku, kuchonga nyusi,kupaka lip balms, kuvaa bangili n.k huku ni kunishabihisha na wanawake.Zipo heren special kwa wanaume, ni utamaduni kama utamaduni mwingine tu
Dudu baba sio kwamba anapinga ushoga,bali anatukana watu,lugha anazizitumia za hovyohovyo za wavuta bangi
Dudu baba sio kwamba anapinga ushoga,bali anatukana watu,lugha anazizitumia za hovyohovyo za wavuta bangi
Hayo mengine sijataja mimi, kuhusu hereni kwako ipo hivyo ila ukienda India au Nepal ipo tofautiuchoko huo..mwanaume kuvaa hereni,kutoga pus, kuvaa mikufu, vikuku, kuchonga nyusi,kupaka lip balms, kuvaa bangili n.k huku ni kunishabihisha na wanawake.
Pambo la mwanaume ni Pete na saa tu ya mkononi.
Ni tabia au tamaduni z kike haijalishi anafanya muhindi au mmasai. Mwanamume wa kwanza kuumbwa hakuwahi kuvaa hereni wala kutoga puaHayo mengine sijataja mimi, kuhusu hereni kwako ipo hivyo ila ukienda India au Nepal ipo tofauti
Umejuaje? Utamaduni wa hereni kwa wanaume ni wakale zaidi na ulikua unanyosha hadhi na mamlaka hasa kwa watawala wakale huko misri , India na falme za kiajemi( Iran)Ni tabia au tamaduni z kike haijalishi anafanya muhindi au mmasai. Mwanamume wa kwanza kuumbwa hakuwahi kuvaa hereni wala kutoga pua
Utamaduni wa wapZipo heren special kwa wanaume, ni utamaduni kama utamaduni mwingine tu