Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k
WACHA WEE DUBAI HAO TUPO KWEYE LIGI NAO..DUUH!HVI VITU KAMA DUBAI WANGEKUWA NAVYO MBALI NA MAFUTA SIJUI WANGEKUWA WAPI ZAIDI YA HAPO.MFANO MDOGO NI KAHAMA TU...ILIPASWA IWEJE MPAKA SASA?KULE KWENYE TANZANITE KULIPASWA KUWE VIPI MPAKA SASA?TUJIFARIJI TU LAKINI...HAWA WANATUMIA MATUNDA YA MAFUTA YAO.SISI JE?KWA KELELE ZA MAJUKWAANI TU NAWEZA KUKUBALI MKUU.
 
Kwa umoja wetu bila kuogopa tuhamieni tukaijenge Dodoma iwe kama Dubai. Ukiangalia hali ya hewa ya Dodoma ni nzuri zaidi ya Dubai hivyo ipo siku Dodoma itakua kivutio cha utalii na kukuza uchumi wa nchi.
Kwa ujangwa.. Dubai ni jangwa zaidi ya Dom.
Dodoma ushafika ww? Ungejua dom yenyew maji shida tena ya chumvi wala usingesema tena kwa mwendo wetu huu wa kuchangia madawati lini tutaifikia dubai? Lbd miaka 3000 mbele hapo chukulia dubai watu hawapo yaan hawaishi ndio tutalingana nao.
Kwa hii inshu ya bana matumizi, ya kusimamisha ajira ili ufanye uhakiki wa wafanyakazi hewa. Hapo sahau no changes
kitendo tu cha kusimamisha ajira nchi nzima, wakati hili zoez lilianza muda mrefu na bado halijamaliza mpaka sasa, kuifikia dubai ndoto hata viwanda vitakuwa mambo ya rohoni
 
372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120.jpg

Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.

372D0B8800000578-3736313-image-m-133_1471101020741.jpg
372D21D100000578-3736313-image-a-126_1471100997396.jpg
372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120.jpg
372D211400000578-3736313-image-a-137_1471101111362.jpg
372D225900000578-3736313-image-a-141_1471101126319.jpg
372E466C00000578-3736313-image-a-135_1471101105116.jpg
372E465000000578-3736313-image-a-127_1471101000441.jpg
372E466000000578-3736313-image-a-132_1471101014316.jpg

NB: Hivi sisi tumeachwa Dunia kwa miaka mingapi? nadhani tuko nyuma zaidi ya karne 2 au zaidi,maaana hivi sasa bado tupo kwenye kuchangia madawati mashuleni
na kufungua makanisa ya kilokole,acha tuendee haki tu mkuu,hakuna namna
 
dubaiyya tamu sanakama hukwenda wakati wa mkwere basi utaskia kwenye picha tu..
 
Tanzania ya viwanda vya kutengeneza pumba za chakula cha kuku labda. Sijaona hiyo vision ya hata kiwanda cha kandambili bado.
 
Kwa umoja wetu bila kuogopa tuhamieni tukaijenge Dodoma iwe kama Dubai. Ukiangalia hali ya hewa ya Dodoma ni nzuri zaidi ya Dubai hivyo ipo siku Dodoma itakua kivutio cha utalii na kukuza uchumi wa nchi.
Kwa ujangwa.. Dubai ni jangwa zaidi ya Dom.
Endelea kuota ukiamka uje ufute huu upupu hapa
 
Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k
Naridia tena...ukiamka uje ufute huu upupu wako hapa
 
Ivi dubai wana mafuta ....russia wana gesi na ndio inayomweka kifua mbele kwa usa..na wenzake!!!

Hao wooote hawana tanzanite..ipo tz tu!!!!

JE SISI SI TUNA GESI??? VIPI TANZANITE???? MBONA HATUFIKI HIKO??? VIPI MLIMA KILIMANJARO??? VIPI MBUGA ZA WANYAMA??? What is wrong???
 
Nchi yetu inafigisu mno. Hivi unajua kwa mfano Mtwara kulikua na reli baadae ikang'olewa kwa madai hsina tija. Yaani ni sawa uwe na barabara halafu uiharibu kwa sababu haina tija, badala ya kuweka mazingira hayo ya tija.
Kama Taifa sijui tufanye nini kwa rasilimali tulizo nazo nyingi mno. Leo kwa maeneo kama Kahama, Geita, Mwadui,Mtwara kwa rasilimali zilizopo zilitakiwa kwa uchache miji hiyo iwe iko angalau kama Arusha,lakini wapi maendeleo yapo kama kinyonga.
Tumuombe Mungu atupe hekima kukuza uchumi kwa maslahi ya Watanzania wote
 
Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k

Ila akili hatuna
 
Ivi dubai wana mafuta ....russia wana gesi na ndio inayomweka kifua mbele kwa usa..na wenzake!!!

Hao wooote hawana tanzanite..ipo tz tu!!!!

JE SISI SI TUNA GESI??? VIPI TANZANITE???? MBONA HATUFIKI HIKO??? VIPI MLIMA KILIMANJARO??? VIPI MBUGA ZA WANYAMA??? What is wrong???
Ubinafsi ndio unatusumbua. Bado hatujapata viongozi wenye uchungu wa nchi yao na nia ya kusaidia wananchi. Kila anaekuja maslahi binafsi, kujikusanyia mali na kutapeli wananchi kwa maneno na kuondokazake. Naamini akitokea kiongozi mwenye nia ya kweli nchi hii lazima ing'are. Hakuna mababu za msingi nchi hii kuwa masikini kwani tumebarikiwa.
 
WACHA WEE DUBAI HAO TUPO KWEYE LIGI NAO..DUUH!HVI VITU KAMA DUBAI WANGEKUWA NAVYO MBALI NA MAFUTA SIJUI WANGEKUWA WAPI ZAIDI YA HAPO.MFANO MDOGO NI KAHAMA TU...ILIPASWA IWEJE MPAKA SASA?KULE KWENYE TANZANITE KULIPASWA KUWE VIPI MPAKA SASA?TUJIFARIJI TU LAKINI...HAWA WANATUMIA MATUNDA YA MAFUTA YAO.SISI JE?KWA KELELE ZA MAJUKWAANI TU NAWEZA KUKUBALI MKUU.

Tanganyika ina laana ya kuvamia Zanzibar 1964 na kuuwa watu wasio na hatia kwa maelfu. Ni wakati wa kuwaachia wawe huru , tuwaombe msamaha tuishi maisha ya furahaya kusaidiana na ya ushindani wa kibiashara. Bila hivyo laana itaendelea kutula mpaka kiama
 
Kwa umoja wetu bila kuogopa tuhamieni tukaijenge Dodoma iwe kama Dubai. Ukiangalia hali ya hewa ya Dodoma ni nzuri zaidi ya Dubai hivyo ipo siku Dodoma itakua kivutio cha utalii na kukuza uchumi wa nchi.
Kwa ujangwa.. Dubai ni jangwa zaidi ya Dom.
mmeshindwa kuijenga dar iwe kama Dubai mtaiweza Dodoma..!!? ebu achana na simulizi zako za abunuas
 
Safari ni hatua. Ukiona hatua za kitanzania huziwezi, hamia huko Dubai. Usitukatishe tamaa tunaojaribu kujikwamua humu humu Tz
 
Back
Top Bottom