Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Usisahau na kamata kamata ya "uchochezi"ni sheeeeedah
Yani wenzetu mambo basics washamaliza now wanafanya mambo mengine.
Kuna siku nimeona mayor wa jiji la seol la south korea eti kisa watu wanacheza sana pokemans go simu zao zinaisha chaji jiji limeamua wawekea charging points.
Nikawaza yani hawa wameendelea to the extent hata chaj za simu za waanchi ni lazima hilo tatizo liwe solved.
 
Kwa ufupi ni kwamba ngozi nyeusi iko na shida sana, huo ndo ukweli, maana hata ukiangalia mataifa ya Afrika yenye maendeleo basi ngozi nyeupe iko ya kutosha. Nadhani kuna kalaana flani kanatuhusu
 
Tafuta kingine cha kuwianisha na mafuta na gas lakini sio tanzanite.

Dunia inatumia 3,570,000,000 of oil gallons per second.

Marekani pekee inatumia average of about 384.74 million gallons ya gas per day

Tanzanite wanavaa wangapi shingoni kwa siku?
Umeona tanzanite tu, hujaona gesi na mlima+mbuga??
 
Kweli Africa yetu nzuru mpaka watu wanatengeneza mazingira kama ya kwetu
 
Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k

Mbavu sina. Usisahahu za Zabibu tunazo pale Dom.
 
Ivi dubai wana mafuta ....russia wana gesi na ndio inayomweka kifua mbele kwa usa..na wenzake!!!

Hao wooote hawana tanzanite..ipo tz tu!!!!

JE SISI SI TUNA GESI??? VIPI TANZANITE???? MBONA HATUFIKI HIKO??? VIPI MLIMA KILIMANJARO??? VIPI MBUGA ZA WANYAMA??? What is wrong???
Mkuu hayo maswali yote unamuuliza nani? Una milioni 7 nini utadakwa kwa uchochezi!! Cha muhimu ni kuiangalia familia yako leo wamekulaa basi maswala ya hii nchi unaeza kufa kwa presha
 
Back
Top Bottom