dua ya kusoma kama swaumu imekuzidia;
ya kabaab wal kuku,
yaa sambusa wal chatne,
innal chips wal mayai,
yaa chapati,
wal maji wal ice cream,
yaa juice bariiidi.
Ukimaliza fanya kama unapiga myayo.
Nawatakia swaumu njema!!!
these people dont like jokes when it comes to their religion, I respect them for this...they gonna smash off ur ass
DUA YA KUSOMA KAMA SWAUMU IMEKUZIDIA;
ya kabaab wal kuku,
yaa sambusa wal chatne,
innal chips wal mayai,
yaa chapati,
wal maji wal ice cream,
yaa juice bariiidi.
UKIMALIZA FANYA KAMA UNAPIGA MYAYO.
Nawatakia swaumu njema!!!