Master jay
Senior Member
- May 28, 2012
- 194
- 29
nyie DTV, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf nyie ndo mnaanza. Achen uhuni, mnakera sana alah!!