Wake za watu mnaoishi nyumba za kupanga mjisitiri, mnatuingiza majaribuni

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,781
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu!

Wengine ni mabachela, hatuna wake, tunaamka asubuhi tunapishana na ninyi kwenye korido mkiwa na khanga moko! Mnapotuona tu mnatulegezea khanga! Mara mloweshe khanga zenu mnapotoka kuoga, kisha kujifunga tena, halafu khanga zenyewe nyepesi!

Tukisema tukae kwenye milango yetu, na ninyi mnakaa vibaya kwenye milango yenu tunaona vya ndani!

Mnatugongea hodi vyumbani kwetu kutuomba chumvi ilhali mnafahamu fika waume zenu wako ndani!

Tukisema tukae nje, na nyinyi mnasogeza mabeseni yenu nje, mnatuinamia mbele yetu mnaanza kujifulisha nguo!

Tukivuta vi trako ndani, mnakuwa mnatugongea milango yetu kila mara halafu mnajiongelesha ujinga kiasi kwamba wageni wetu wanakosa amani huku ndani! Au mkijua ndani kina mgeni, nyumba nzima mnajikusanya koridoni mnaanza kucheka kinafki na kwa sauti!

Mnashindana kutuonesha maumbo yenu humu ndani! Bafuni hamfungii mlango, mnatutegeshea tunapokuwa kwenye plan za kuoga, na nyie chap na ndoo zenu, ili tukisukuma mlango tukutane na vya haramu!

Mwenzenu huku kaamsha khanga nzima kujifutia usoni, kabaki asalala! Muda huo mmewe anatoka ndani, amezua balaa hapa!

Mnasababisha mpaka nyuzi tunazotengeneza kuonekana ni chai, kumbe matukio ya kila siku huku Uswazi!

Sio kama hatutaki, ila reactions za waume zenu zinatutisha! Hakuna aliye na utayari na KY Jelly dada zetu, Leeni watoto wenu, muwatunze waume zenu!

Na sisi ni binadamu tu wadhaifu!
 
Haiwezekani upange chumba za Elfu 30 na usikutane na kero kama hizo!,jaribu kupanga chumba kuanzia laki moja utakuja na majibu tofauti,itoshe tu kusema tafuta pesa mkuu
Mkuu, pesa zinatafutwa sema kwa kazi iliyopo siwezi tengeneza kiasi cha kulipa chumba 100K kwa mwezi!

Kama una connection ya job la maana nishtue mkuu!
 
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu!

Wengine ni mabachela, hatuna wake, tunaamka asubuhi tunapishana na ninyi kwenye korido mkiwa na khanga moko! Mnapotuona tu mnatulegezea khanga! Mara mloweshe khanga zenu mnapotoka kuoga, kisha kujifunga tena, halafu khanga zenyewe nyepesi!

Tukisema tukae kwenye milango yetu, na ninyi mnakaa vibaya kwenye milango yenu tunaona vya ndani!

Mnatugongea hodi vyumbani kwetu kutuomba chumvi ilhali mnafahamu fika waume zenu wako ndani!

Tukisema tukae nje, na nyinyi mnasogeza mabeseni yenu nje, mnatuinamia mbele yetu mnaanza kujifulisha nguo!

Tukivuta vi trako ndani, mnakuwa mnatugongea milango yetu kila mara halafu mnajiongelesha ujinga kiasi kwamba wageni wetu wanakosa amani huku ndani! Au mkijua ndani kina mgeni, nyumba nzima mnajikusanya koridoni mnaanza kucheka kinafki na kwa sauti!

Mnashindana kutuonesha maumbo yenu humu ndani! Bafuni hamfungii mlango, mnatutegeshea tunapokuwa kwenye plan za kuoga, na nyie chap na ndoo zenu, ili tukisukuma mlango tukutane na vya haramu!

Mwenzenu huku kaamsha khanga nzima kujifutia usoni, kabaki asalala! Muda huo mmewe anatoka ndani, amezua balaa hapa!

Mnasababisha mpaka nyuzi tunazotengeneza kuonekana ni chai, kumbe matukio ya kila siku huku Uswazi!

Sio kama hatutaki, ila reactions za waume zenu zinatutisha! Hakuna aliye na utayari na KY Jelly dada zetu, Leeni watoto wenu, muwatunze waume zenu!

Na sisi ni binadamu tu wadhaifu!
Apo kwenye Ky 😂😂😂😂😂😂😂 noma sanaa
 
Niliishi nyumba fulani wakati nikiwa bachela. Kuna mke wa mtu kila akisikia nimerudi tu lazima nigongane naye mlangoni. Nikienda bafuni na yeye anaingia choo Cha pili.Nikifua na yeye atajifanya anafagia. Kwa kifupi kama ni wikiendi kutwa mzima atakuwa mbele ya macho yangu! Nashukuru Mungu nilikuwa mvumilivu.
 
Ukweli mtupu, Hayo mazingira ni hatari sana, SIjui wanamatatizo gani hawa wanawake.
 
Wanawake wa Dar, Pwani na Morogoro hao. Nilipanga Moro kule uswahilini wakati nasoma.SUA. Aiseeeee.
 
Back
Top Bottom