Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,552
nikinunua kwa bei ya zamani haifiki 1.4 milHow much?
nikinunua kwa bei ya zamani haifiki 1.4 milHow much?
Baada ya GTV kufa tu jamaa wakanunua ruhusa yote ya kuonesha mpira
Dstv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze
Asilimia kubwa ya wanaonunua hii ni kwasababu ya mpira tu.
Siku watanzania wakipata mbadala wa kuangalia Mpira kwa bei ya chini. DSTV wanasaga meno.[/QUO
Kipindi kifupi cha GTV walianza kuipata kwa mbali. Sasa hivi wana monopoly kwenye soka la ulaya. Akiingia mtu hapo watafungasha TANZANIA
yani mkuu GTV ndo alikua anawapelekesha kinoma Dstv sjui kwanini wanashindwa kuifufua GTV yetu
DSTV ni wajanja sana katika biashara hii,ilipo kuja Gtv na yeye kuona anapoteza wateja kutokana na kuto onyesha epl aimfuata mmoja wa wenye hisa nyingi GTV na kumrubuni ajitoe,jamaa akatoa mtaji Gtv ikashindwa kujiendesha,akachukukua tena right epl....huku nigeria miaka ya juzi juzi alipoteza kwa HITV kila wekienda ku tender hitv wanashinda dstv wakairubuni bank inayo wapa dhamana hitv so ikakosa nguvu ikapoteza epl kwa dstv na kupotea kabisa kama gtv na kuwaacha watu na decoder zao....hapa tz kama azam atashinda tender ya epl dstv hawatamfanyia hujuma kwakua wateja wa dstv ni wachache sana....africa kusini inaongoza kwa kua na wateja wengi ikifuatiwa na nigeria.
ujanja ni kununua mwaka mzima
Wameongeza dola 10 kila package
Mh kama hujui uliza kwanza.
Azam anzeni kuonesha la liga basi na sisi tufaidi wapenda burudani ya soka
Kwahiyo watafanya vipi kwa watu ambao tayari tulishalipia miezi kadhaa mbele??!!Dstv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze