DSTV wapandisha bei

DSTV wapandisha bei

Kuna watu wanaitwa beIn Sports, ambayo tawi la Al Jazeera ya Doha, unaweza kununua decorder yao na kutafuta mafyndi wajanja wakakufungia na ukawa unalipia online. Japo beIn Sports haina rights z kurusha EPL ukanda wa Africa Mashariki, but still inaonekana na wana match analyisis nzuri kuliko Super Sport. Jamaa wapo vizuri sana aw beIn Sporta.
 
Ebu kuna nini katika dstv ambacho kinafanya kweli MTU ulipe
Kufanya ulipe laki moja na zaidi kuangalia tv tu. Ebu tujiulize sisi wenyewe tunaenda wapi AZAM analipiza shs.12000/=kwa mwezi twende AZAM TV tumpe support aweze kufikia huko. Lazima tujifunze kungomea awa watu nje wanaotoka nchi za nje kutukomoa. Tutumie vyetu tafadhali sana.

Kiukweli, EPL iliyoshiba kihalali huwezi iona kwa 12500, 15000, 10000, au 20000.
 
Kwa Tanzania bado hakuna king'amuzi kinachoshndana na DSTV
 
DSTV ni wajanja sana katika biashara hii,ilipo kuja Gtv na yeye kuona anapoteza wateja kutokana na kuto onyesha epl aimfuata mmoja wa wenye hisa nyingi GTV na kumrubuni ajitoe,jamaa akatoa mtaji Gtv ikashindwa kujiendesha,akachukukua tena right epl....huku nigeria miaka ya juzi juzi alipoteza kwa HITV kila wekienda ku tender hitv wanashinda dstv wakairubuni bank inayo wapa dhamana hitv so ikakosa nguvu ikapoteza epl kwa dstv na kupotea kabisa kama gtv na kuwaacha watu na decoder zao....hapa tz kama azam atashinda tender ya epl dstv hawatamfanyia hujuma kwakua wateja wa dstv ni wachache sana....africa kusini inaongoza kwa kua na wateja wengi ikifuatiwa na nigeria.
Kaka hiyo ni story ya kijiweni. GTV waligongwa na global financial crisis.
 
Kuna watu wanaitwa beIn Sports, ambayo tawi la Al Jazeera ya Doha, unaweza kununua decorder yao na kutafuta mafyndi wajanja wakakufungia na ukawa unalipia online. Japo beIn Sports haina rights z kurusha EPL ukanda wa Africa Mashariki, but still inaonekana na wana match analyisis nzuri kuliko Super Sport. Jamaa wapo vizuri sana aw beIn Sporta.

Ni PM mkuu. Nataka nitafute hiyo kitu.
 
Emanuel tv naipata kwenye fta, kwa kutumia fta receivers
 
Dstv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze

Zuku kulipia 130000
 
Hapana. Package ya chini kabisa ikikuwa ni sh. 17500. Kuanzia hiyo tar 9 itakuwa 18500
Wameona Compact+ ina watu wengi....
123.png
 
Kuna watu wanaitwa beIn Sports, ambayo tawi la Al Jazeera ya Doha, unaweza kununua decorder yao na kutafuta mafyndi wajanja wakakufungia na ukawa unalipia online. Japo beIn Sports haina rights z kurusha EPL ukanda wa Africa Mashariki, but still inaonekana na wana match analyisis nzuri kuliko Super Sport. Jamaa wapo vizuri sana aw beIn Sporta.

Unaweza kunirushia namba ya mhusika,nataka nifunge hiyo.
 
Kundisha being DSTV no sisi kujitakia nchi,Nina imani TBC iuwezlo wa kuwa kingamuzi na kutuonyesha yote hayo ya DSTV kwa being poa. Ebu serikali yetu iwape pesa TBC ifanye mambo saws.

Hongera Mkuu kwa kuanza kutumia ka-simu ka touch!!
 
Ebu kuna nini katika dstv ambacho kinafanya kweli MTU ulipe
Kufanya ulipe laki moja na zaidi kuangalia tv tu. Ebu tujiulize sisi wenyewe tunaenda wapi AZAM analipiza shs.12000/=kwa mwezi twende AZAM TV tumpe support aweze kufikia huko. Lazima tujifunze kungomea awa watu nje wanaotoka nchi za nje kutukomoa. Tutumie vyetu tafadhali sana.

Ili uwe unaangalia kuchkuch hotae😀 watu serious wanaangalia educative progms ambazo unazipata dstv mf science channels,michezo aina zote ya uhakika ikiwemo epl,music from across the globe,documentary chnls,intl.news chnls almost 60% zimo dstv,sasa huyo azam mbona anazo chache,ngoja akue tutahamia tu kwa sasa zamu ya dstv
 
azamtv tumemvumiliaaaaa mwisho msimu huu skysport na BETwameshanunua raets kwa msimu ujao skysport kanunua dora milioni 500 bet dora milioni 600 na wao ndio huuza kwa dstv bein sport indiasport chinasport na wengine watauza baada ya msimu huu kuisha sasa azamtv akishindwa kununua kwa ajili ya msimu ujao wa ligi itakuwa azamtv kwishneyi
 
Kwakweli bora kuingia humu sasaivi mkuu una experience yoyote na hii qsat

Usijaribu kuingia huko ni usanii tu,kama unahitaji nakuuzia cha kwangu kwa 150,000 .ni full majanga ila wanaouza wana promo hatari.
 
Usijaribu kuingia huko ni usanii tu,kama unahitaji nakuuzia cha kwangu kwa 150,000 .ni full majanga ila wanaouza wana promo hatari.

Thnx mkuu kwa t aarifa
 
Ina maana kama DSTV explora tulikuwa tunalipa 159000, sasa tunalipa 185,000 khaaa huu ni uhuni sasa.
 
Back
Top Bottom