Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,730
- 2,391
Kuhama ni suluhisho pia..!!
Kwenda wapi? hawa jamaa wamepandisha maksudi wanajua hatuna pa kwenda.
Kuhama ni suluhisho pia..!!
Watu kama nyie ndio huangalia vibanda umiza hapa mnajishaua.
DStv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze.
![]()
Kinachopandisha bei ya dstv ni live soccer siyo hizo channel unazotaja. Kama kweli huhitaji soka kwa nini uhangaike na DSTV?
Asilimia kubwa ya wanaonunua hii ni kwasababu ya mpira tu.
Siku watanzania wakipata mbadala wa kuangalia Mpira kwa bei ya chini. DSTV wanasaga meno.
Hivi ni kwa nini hawana chanels za bure?
Asilimia kubwa ya wanaonunua hii ni kwasababu ya mpira tu.
Siku watanzania wakipata mbadala wa kuangalia Mpira kwa bei ya chini. DSTV wanasaga meno.
Abeeee?!! Channel za Discovery na National Geographic tu baaas, soccer sina shida nayo hata kidogo.
Kama ni hivyo hauhitaji dstv maana hizo unazotaka wewe zinapatikana hata star times!
Azam wanaanza kuonyesha ligi ya sipeni na tunakoelekea wataonyesha ata ya english so hapa nikuamia AzamTv ndio mpango mzima
usinifanye nihame, startimes wana discovery channel, discovery hd, discovery ID, National geographic channel, nat gio wild, animal planet, history? mimi siyo mshabiki wa soccer kabisaaa, michezo labda kikapu na mbio za magari tu.
Hata hao azam watakapoanza kuonyesha meshi hizo usitegemee kulipia hiyo bei unayolipia sasa. Sky sports ndio wanahaki ya kurusha ligi kuu ya uingereza kwa miaka 3,na walilipa pounds bilioni 3!nao ndio waanze kuuza haki hizo kwa hao wa dstv, uoni kuwa hapo ni parefu?? aje atoze eti 12,000!!!Azam wanaanza kuonyesha ligi ya sipeni na tunakoelekea wataonyesha ata ya english so hapa nikuamia AzamTv ndio mpango mzima