DSTV wapandisha bei

DSTV wapandisha bei

Ukitaka kuona mipira LIVE ya UINGEREZA, ITALY, SPAIN,UJERUMANI,FRANCE NA UEFA nicheki nna pack mbili za kuweza kuona hizo ligi bilaa malipo ya mwezi
 
Kama wewe sio mshabiki wa soka kabisa basi bila shaka maisha yako ni magumu sana, au ulianza kushabikia Arsenal ukawa disappointed nini mkuu?

Hahahaaa, angalia sana kauli zako, Arsenal chama kubwa subirieni maumivu kuanzia tar8
 
  • Hamia ulimwengu wa FTA
  • Nunua decoder yeyote ya MPEG4 pamoja na dish la futi sita
  • Bei ya MPEG4 decorder ina range kati ya TSH 120'000 hadi 250'000
  • Mpe kazi fundi akufungie LNB kama tatu hivi. CBAND moja na KU-Mbili
  • Hapo utakuwa umeachana na malipo ya kila mwezi na utapata channel nyingi ikiwemo na hiyo EMMANUEL TV
Tumia muda kidogo kusoma hizi Thread
HAKIKA HUTOFIKIRIA KUNUNUA KINGAMUZI KINGINE CHOCHOTE
Mkuu hiyo mpeg4, inaweza kukubali haya madish dizain ya azam au dstv, ili ninunue, pia niongeze lnb,au hadi hayo ya futi 6
 
Ukitaka kuona mipira LIVE ya UINGEREZA, ITALY, SPAIN,UJERUMANI,FRANCE NA UEFA nicheki nna pack mbili za kuweza kuona hizo ligi bilaa malipo ya mwezi
Mkuu mi nataka iyo kitu, no 0714495367 niko dar
 
DStv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze.

attachment.php

Wajinga sana hao Dstv ....kwanzia sasa naacha kutumia dadeki zao
 
Nadhani IPTV kwa sasa ni the best solution when it comes to TV. Kama unatumia net yenye uhakika, una notebook(laptop) basi unaweza kujifurahia kupata live streaming bila malipo yoyote ya mwezi.
Pia, kwa watumiaji wa smartphone unaweza kupakuwa apps zenye kujuwezesha kutazama live streaming na kupata kuona ligi yoyote duniani. Cha msingi ni internet ya uhakika na yenye spidi nzuri.
 
Back
Top Bottom