DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,716
45,122
Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui.

82499006-ACC7-470E-B905-C78CE0FF251D.jpeg


PIA SOMA
- BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
---
DStv Wapinga na kutoa ufafanuzi
DSTV wamethibitisha kuwa vifurushi vimepanda lakini Tozo si sababu ya kupanda kwa bei.

1661281746641.png


Zaidi Soma DSTV wakana tozo kuwa sababu ya kupandisha bei za vifurushi, wasema ni ongezeko la kawaida
 
Back
Top Bottom