samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
naomba ushauri wakuu,nipo morogoro nataka kununua zuku au dstv,naomba ushauri wenu ipi ni rahisi kwenye gharama,manunuzi,na kulipia kila mwezi? Naje kuhusu chanel zake?
Dstv ni noma, we jipinde na dstv tu hivi ving'amuzi vingine ni michosho tu.
Mkuu mi nimefunga dstv, naomba nielekeze jinsi ya kulipia kwa njia ya tigo pesa pls!
[h=3]Tigo Pesa[/h]
- Dial *150*01 on your mobile to access the Tigo Pesa menu
- Select the option for Payments (4)
- Select the option for Pay DStv (2)
- Enter your smartcard number
- Enter the amount you wish to pay
- Confirm your transaction with your PIN
- You will receive a SMS confirming the transaction and the payment will go through to DStv directly.
Source: How do I pay my DStv Tanzania Account? - General Help
DSTV ukilipia compact plus $ 50, unapata channel za mpira S5, S7, S9, S10, S19,S220 NA ESPN hizi zote zinaonyesha live games, na movies kibao pamoja na series
DSTV ukilipia compact plus $ 50, unapata channel za mpira S5, S7, S9, S10, S19,S220 NA ESPN hizi zote zinaonyesha live games, na movies kibao pamoja na series