LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,401
- 3,634
Nimekuuliza swali zuri tu kwamba kwani wanovaa mitumba ambao naamini ndiyo wengi hapa tz hawapendi kuvaa nguo za dukani au mpya? Bila shaka wanapenda na wanatamani sana kuvaa nguo mpya zinazouzwa madukani ambazo quality yake ni bora zaidi kuliko mitumba!Vizuri, ebu nambie kifurushi cha Azam TV cha tsh 18000 na cha dstv cha 19000 ukiwa na decorder zote alafu unalipia kimojawapo utalipia kipi, maana gharama hizo ndo zinaendana.
In short hata TV stations za Azam hazijaweza kuvutia kila mtu aitumie.
Pili hata kufanya installation ya azam vs dstv kuna tofauti tena karibia mara 2, lazima option uiweke kwa mwenye low price.
Tatizo wengi wanaoipinga dstv wao hukimbilia kuiponda kwa vile vifurushi vya bei ghali ambavyo hata huku azam hana Chanel's zake
Kwa upande wa ving'amuzi nimesema kabisa kwenye post yangu hapo juu kwamba DSTV wana vipindi (programmes) nyingi sana na nzuri compared na ving'amuzi vingine vinavopatikana hapa tz. Tatizo watu hawawezi kuafford hzo bei zao ziko juu. Sasa sijui unataka tulinganishe kitu gani?