mbona Maxologist anasema cha juu ni 110,000Cha chini ni 19,000 na cha juu kwabisa 85,000
MIXOLOGIST Bei ni ya kawaida, inategemea unalipia kifurushi gani kwa ambayo ninailipia mimi, inacheza kati ya 110,000/- 100,000/- compact plus, it is very satisfying. 110,000/- ukigawanya kwa siku 30 ni kama 3500 kwa siku, ki-bongo bongo siyo mbaya. Siwezi kuelezea gharama za ku- connect kwa sasa, kwani nilijiunga nao zaidi ya miaka kumi iliyopita, hivyo kwa msaada zaidi tembelea ofisi zao.