DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Channel za maana ndio zipi?unaona SS4,5,9,10 nadhani pia movie zipo Mnet Movies,Telemundo,EVA+ nk
Kwa kweli kifurushi hiki hakina chaneli za maana kwangu. Kwangu chanel za maana ni skynews, cnn, skysports, bbc, aljezeera, discovery channel zote, nat geo, cartoons chanel, music chanels, espn, supersports tv hasa S3, channel za dini hasa inayoonyeshaga kanisa la Joel Osteen etc.
 
Jiunge kifurushi cha Compact bei ni Tsh.69,000
 
Kwa maoni yangu mshindani mkubwa wa Dstv ni Internet mfano siku hizi vijana wengi wana stream match za mpira nk. Wapenzi wa movies na series wanadownlaod kama unakipindi unakipenda una download free tu. Mfano TTCL kwa usiku unapata GB 10 kwa Tsh. 1000 so why ulipie full package ya dstv wakati unaweza pata kila kitu cheap na faster.

Maharage Chande Mzaramo wa Kisarawe fanya vitu hapo kwani Dunia inabadilika so fast na kwa kuwa umesomea biashara haya tunasubiria ubunifu wako
 
Globalization inataka uwe mjanja sana kutoboa, naagalia ghalama wanazosema wachangiaji humu wakati mimi naangalia ligi zote ikiwemo UEFA, tennis, mbio za magari, movie, History channel, discovery, animal planet, CNN, Sky news,BBC, Disney junior, Mtv music,.....local zote, kwa chini ya 25,000/= (tahadhali hakikisha wewe sio mpangaji maana unahitaji dish 2 za ft 8 na 6 sasa nyumba ya watu utaigeuza studio za ITV!!!)
 
Unafanyaje hii mkuu?

Chanel ya maisha magic tu ndio nnayo imiss coz nna visimbuzi viwili sikitumii cha dstv coz SS3,SS7,SS5,SS1,SS11,SS12 CHANEL ZOTE MUHIMU ZA ePL hazipatikani kwenye vifurushi vya kawaida vya compact 19000, hivyo sioni umuhimu wao tena
 
Back
Top Bottom