MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,390
Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D.
Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022.
Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala ya kutumia kadi kubwa za zamani hii itakuwa inatumia kadi ndogo saizi ya laini ya simu.
Pamoja na faida nyingine vifaa hizi vitakuwa na gharama ndogo, chini ya elfu 25,000.
Wakuu the future is here