DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

Mkuu azam 25k kwa chanel za mzk unapata mtv base ambapo kwa dstv mtv iko kweny kfrsh cha dstv family 45k,azam utapata lig ya ufaransa na laliga, wakat dstv penyew utapata unlimited na limited laliga na epl respectively, kwenye movies haswa za action, drama, na genres mbalmbal azam ndo ucseme, zpo chanez zaid ya 4 kwa Hollywood, za bollywood cjui maana cfatilii, aya twende kwa watoto na catoon kwa aza utapata chanel 2 nikoledon na mbc, ambapo same chanelz kwa dstv ziko kweny dstv family
na ligi ya spain tunaiona kwa hd wakati dstv ukilipa19000 hupati hd
 
Sio mibaya, ila wako international zaidi, mm napenda zaidi kufuatilia matukio nA habari za tz kitu ambacho azam ndio wenyewe, dstv wako kimataifa zaidi
Hapana mkuu c kuna local channel 6 humo? TBC, ITV, channel ten, star TV, TV E,
 
Hawa wafanyakazi wa dstv wanakuja humu kutudanganya kwa uzoefu wao wa kucheza na mitandao ya kijamii kwa sababu maisha yao yalianzia ushuani malipo ya mwez wao wanaona ni kawaida kwa sababu hii kitu wameizoea tangu utotoni na fedha za wazee wao. Ila ukweli ni kwamba wanavifurushi vya garama ambayo haiendani na maisha ya mtanzania mimi mtoto wa mkulima huwez niambia nilipie dstv elfu 90 ili nione BET television wakati kwenye azam nnalipia elfu 23 nnaiona BET,Nat geo wild,RAW,smack down live bongo movie,local chanel zote pamoja na radio za bongo. Niliingia cha kike tu kununua hichi kishumbushi kumbe nimemnunulia mtoto achezee
Hahahhah mkuu umenichekesha sana sasa hapo kwenye mfanyakazi umekosea mie nimtanzania tuu mtoto wa mkulima kama wewe nimejipigapiga tuu nikanunua
 
Mkuu samahani kipi unachokipata DSTV na ukakikosa Azam Tv?
Sipati Channel 5 kwa dstv mkuu unajua Mara ya kwanza niliambiwa azam amejaza machannel ya kihindi tuu nikakwepa mbaliii
 
King'amuzi changu cha kwanza kabisa wakati naanza maisha kilikua azam, nilikitumia zaidi ya miaka miwili lakini niliona hakinisaidii chochote maana VPL huwa siangalii, wamejaza chanel nyingi za dini fulani, movie zao ni outdated sana, nikaamua nihamie star times (Lool) [emoji23] [emoji23] hakikumaliza hata miezi sita nikahangaika kutafuta mteja nikawa sipati nikampatia mdogo wangu nae ndio alikua anaanza maisha ile kigeto geto.

Nikahamia dstv, sijutii maamuzi yangu, cartoon, wanyama, documentaries, movie, music mpira (la liga, epl, serie A, Absa premier league zote nazipata live), WWE na sky sports news zote live na full HD.
Yaaani mkuu nakuunga mkono unajua wengi wanasifia azamu kwasababu ya vpl nakuhakikishia kama dstv wangekuwa wanarusha vpl wangekuwa juu sana
 
Ss3 ndiyo chaneli kubwa in ayo broadcast mpira kwa dstv chanels, ss kama hiyo hauna, bado ww huna dstv baba lipa zaidi
Na hauwezi kuipata hadi ulipie kikubwa zaidi vizuri ghalama mkuu
 
Max1 ni same as ss3 pamoja na hayo nikilipia napewa ss3 for 2weeks nikilipia 2 months without disconnected napewa compact ya mwezi mmoja ikiwa na ss3 kwa bei hiyo 19k
Mkuu hebu nipe maujanja ukiwahi kulipia unaunganishwa ss3 mwezi mzima kama offer?
 
Mkuu vipi local channel nazo unalipia kama kifurushi cha 19000 kwa mwezi kikiisha? Hebu mwenye kujua anijuze haraka nisogeze hiyo dstv Nyumbani kwangu chapu
Mkuu local channel zipo Ila kikiisha unabakiziwa 2 tu
 
169 mkuu mind u mm ni mtumiaje wa iyo kitu na nivyema ukachukua ushaur wa user, not dealers,,,, sema awa watu uwa wanaviofa vya kuwavuta watu muone kwamba vyuma vmeachia, na nkwa mda mfp
Hahahah mkuu eti wanaviofa hako kalilugha kamenifurahisha sana
 
No hizo ni pvr services na huduma zinajitegemea ukipia 25k unapata hizo features hafu kitu kingine kizuri kwa dstv siku hizi kuna huduma ya dstv now unaiunga acc yako na os/android devices unakula live channels kwa device hata uwe safarini decoda nyumbani wana enjoy na ww unaenjoy na marafiki wengine 3 hadi 4 devices so dstv ni usipime
Nifundishe namna yakuunga mkuu
 
Back
Top Bottom