Mkuu naona hujanielewa tu Mimi nilimaanisha local channel zinazopatikana dstv na sio zinazobaki baada ya king'amuzi kuisha sijui kama umenipataMwongo!!! Nina dstv kwa miaka 4 sasa!! Sasa hivi kama kifurushi kikiisha local channel unayoona ni TBC tu!!! Hawa jamaa ni shida!!!! Kwa local channels hawafai,!!!
Hapana mkuu local channel zipo 6 ITV, CHANNEL 10, STAR TV, CLOUDS TV, TBC, TV E.
Hahah mkuu ni Assets ndio nilichoongeza
Acha fixmimi mbona napata s3, s4, 7, 8, 9, 10, 14, 235 kwa 19000 tu
Hua wanachakachua setting but nahis yye hawakumwambia hao walomsetia....so anafikir ni free....Atupe mrejesho inakuwaje anapata ss1,2,3,4,5