DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mwezi
Mkuu unalnganisha kfurush cha mwsho na cha kwanza, azam 25k ni kifurush kikubwa na chakati. Dstv 19kni kifurush cha chini kabsa
 
Mkuu unalnganisha kfurush cha mwsho na cha kwanza, azam 25k ni kifurush kikubwa na chakati. Dstv 19kni kifurush cha chini kabsa
Sasa cha azamu kikubwa cha 25k hakimpati kidogo cha dstv cha 19k hapo umegundua nini
 
Kifurushi cha startimes cha chini kabisa ni sh ngp wakuu
 
Sasa cha azamu kikubwa cha 25k hakimpati kidogo cha dstv cha 19k hapo umegundua nini
Mkuu azam 25k kwa chanel za mzk unapata mtv base ambapo kwa dstv mtv iko kweny kfrsh cha dstv family 45k,azam utapata lig ya ufaransa na laliga, wakat dstv penyew utapata unlimited na limited laliga na epl respectively, kwenye movies haswa za action, drama, na genres mbalmbal azam ndo ucseme, zpo chanez zaid ya 4 kwa Hollywood, za bollywood cjui maana cfatilii, aya twende kwa watoto na catoon kwa aza utapata chanel 2 nikoledon na mbc, ambapo same chanelz kwa dstv ziko kweny dstv family
 
Hawa wafanyakazi wa dstv wanakuja humu kutudanganya kwa uzoefu wao wa kucheza na mitandao ya kijamii kwa sababu maisha yao yalianzia ushuani malipo ya mwez wao wanaona ni kawaida kwa sababu hii kitu wameizoea tangu utotoni na fedha za wazee wao. Ila ukweli ni kwamba wanavifurushi vya garama ambayo haiendani na maisha ya mtanzania mimi mtoto wa mkulima huwez niambia nilipie dstv elfu 90 ili nione BET television wakati kwenye azam nnalipia elfu 23 nnaiona BET,Nat geo wild,RAW,smack down live bongo movie,local chanel zote pamoja na radio za bongo. Niliingia cha kike tu kununua hichi kishumbushi kumbe nimemnunulia mtoto achezee
 
Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na ufundi 20,000/= tu ukiwapa 100,000/= sio mbaya now nainjoi sana ni full HD kwa t-shs 19,000/= kwa mwezi.
ce6e861932e68f691c8e71916b84ac10.jpg
df1589c3490577f3ce6dd226b222b771.jpg
99ecbe849b90b59529a6a3e85e49dce2.jpg
a5c6b003b351b8ecca482de55d72cccc.jpg
dd95f8d2e9db92308d6a180385d393df.jpg
18d26cd28e2e395d4c08256b08825aac.jpg
Mkuu unapewa commission ngapi kwa hili tangazo?
 
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.

Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
Star times hovyo pia.Local Chanel pekee wanayorusha bila malipo in TBC 1 pekee.Gharama ni 12000 kwa mwezi,hiyo 6000 ni siku 12 tu.Kwa hiyo naona kweli ni bora hiyo DSTv
 
Ila kiukweli, ntaacha na Azam TV,VPL ntakuwa naenda kwa jirani,Azam Tv wamejaa TV za siasa za bongo
 
Back
Top Bottom