DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

King'amuzi changu cha kwanza kabisa wakati naanza maisha kilikua azam, nilikitumia zaidi ya miaka miwili lakini niliona hakinisaidii chochote maana VPL huwa siangalii, wamejaza chanel nyingi za dini fulani, movie zao ni outdated sana, nikaamua nihamie star times (Lool) [emoji23] [emoji23] hakikumaliza hata miezi sita nikahangaika kutafuta mteja nikawa sipati nikampatia mdogo wangu nae ndio alikua anaanza maisha ile kigeto geto.

Nikahamia dstv, sijutii maamuzi yangu, cartoon, wanyama, documentaries, movie, music mpira (la liga, epl, serie A, Absa premier league zote nazipata live), WWE na sky sports news zote live na full HD.
 
Star times hovyo pia.Local Chanel pekee wanayorusha bila malipo in TBC 1 pekee.Gharama ni 12000 kwa mwezi,hiyo 6000 ni siku 12 tu.Kwa hiyo naona kweli ni bora hiyo DSTv
Mkuu kuna kifurushi kinaitwa nyota ndio kinalipiwa 6000 kwa mwezi mzima sio siku 12, ukilipia 6000 bila kubadilisha kutoka Mambo au Uhuru ndio kinakaa siku 12. Wapigie simu au fika ofisini kwao na smart card yako uwaambie wakubadilishe kifurushi waweke NYOTA ndio utakipata kwa mwezi mzima.
NB; Kifurushi cha nyota hakipatikani kwenye menyu yao (*150*63#) ili uweze kujibadilisha mwenyewe, ni lazima ufike ofisini au uwapigie simu wakubadilishie.

Natumaini umenielewa.
 
StarTimes Vp
Maana Baadhi Yetu Shida Kubwa Sana Tuweze Kuona Television Ndiyo Maana Television Chogo Tunazo
 
Hawa wafanyakazi wa dstv wanakuja humu kutudanganya kwa uzoefu wao wa kucheza na mitandao ya kijamii kwa sababu maisha yao yalianzia ushuani malipo ya mwez wao wanaona ni kawaida kwa sababu hii kitu wameizoea tangu utotoni na fedha za wazee wao. Ila ukweli ni kwamba wanavifurushi vya garama ambayo haiendani na maisha ya mtanzania mimi mtoto wa mkulima huwez niambia nilipie dstv elfu 90 ili nione BET television wakati kwenye azam nnalipia elfu 23 nnaiona BET,Nat geo wild,RAW,smack down live bongo movie,local chanel zote pamoja na radio za bongo. Niliingia cha kike tu kununua hichi kishumbushi kumbe nimemnunulia mtoto achezee
Umeona ee
 
Mkuu samahani kipi unachokipata DSTV na ukakikosa Azam Tv?
Uclnganishe azam na dstv, kama ww ni jogori ucende dstv, ni ukwel dstv wanavitu vng tatizo bei, azam wanajarb kurahsisha maiaha cc my last comment
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,it is damn true kuwa DSTV wapo vizuri!....Kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi unapata supersport zote 14 isipokuwa supersport 1,2,3 na 5!
Kweli kabisa mimi nina Explora2 lkn ni usipime tangia nov 2017 mpaka leo nalipia 19k lkn napata sports zote hadi max1 na max2
 
Ss3 ndiyo chaneli kubwa in ayo broadcast mpira kwa dstv chanels, ss kama hiyo hauna, bado ww huna dstv baba lipa zaidi
 
Kweli kabisa mimi nina Explora2 lkn ni usipime tangia nov 2017 mpaka leo nalipia 19k lkn napata sports zote hadi max1 na max2
Mkuu primium Ni 169k hicho cha 19k unapata super sport ,zote?
 
King'amuzi changu cha kwanza kabisa wakati naanza maisha kilikua azam, nilikitumia zaidi ya miaka miwili lakini niliona hakinisaidii chochote maana VPL huwa siangalii, wamejaza chanel nyingi za dini fulani, movie zao ni outdated sana, nikaamua nihamie star times (Lool) [emoji23] [emoji23] hakikumaliza hata miezi sita nikahangaika kutafuta mteja nikawa sipati nikampatia mdogo wangu nae ndio alikua anaanza maisha ile kigeto geto.

Nikahamia dstv, sijutii maamuzi yangu, cartoon, wanyama, documentaries, movie, music mpira (la liga, epl, serie A, Absa premier league zote nazipata live), WWE na sky sports news zote live na full HD.
Mechi zote muhm unapata kwa kifurushi gani.....? Cha 169k au 19k?
 
Back
Top Bottom