loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,767
Ndio nashangaa mkuu nikajua nikwangu tuu,Cku hizi hawaweki wanaweka matangazo yao tu namba 100
Ndio nashangaa mkuu nikajua nikwangu tuu,Cku hizi hawaweki wanaweka matangazo yao tu namba 100
Ndio nashangaa mkuu nikajua nikwangu tuu,Cku hizi hawaweki wanaweka matangazo yao tu namba 100
kwa kifurushi cha tsh 19,000/= unapata WWE yote live pamoja na marudio!.....Live ipo supersport 8 na marudio ni supersport 9 na 10!......Unapata raw,smackdown pamoja na impact!!Nitahamia DSTV kwa sababu ya WWE
Nami natafuta cha Azam. Dstv wa ovyo sana labda kwenye catoon ndio mtoto wangu atazimissNIMEFUNGA DSTV MWEZI ULIOPITA KINGAMUZI NI KIPYAAAAAA, NAHITAJI MTU WA KUBADILISHANA NAE ANIPE CHA AZAM. ANYONE CHEKI 0752-399070
Usiuze mkuu njoo tubadilishane na dstv kipya kabisa 0752-399070Channel zaid ya 100! Super sports 4,7,8,9,10,12
Asante...Lazima ninunue.kwa kifurushi cha tsh 19,000/= unapata WWE yote live pamoja na marudio!.....Live ipo supersport 8 na marudio ni supersport 9 na 10!......Unapata raw,smackdown pamoja na impact!!
Usiuze mkuu njoo tubadilishane na dstv kipya kabisa 0752-399070Channel zaid ya 100! Super sports 4,7,8,9,10,12
[emoji15] [emoji134] Kwanini wasema ""Dstv wa ovyo?""Nami natafuta cha Azam. Dstv wa ovyo sana labda kwenye catoon ndio mtoto wangu atazimiss
Mimi ni mpenzi sana wa mieleka ila nilikuwa nahangaika kwa miaka mingi nikiwa naamini kuwa mieleka DSTV itakuwa inapatikana kwenye kifurushi cha premium kumbe nilikuwa very wrong!....i never knew kuwa inapatikana kwenye kifurushi cha chini kupita vyote!!Asante...Lazima ninunue.
Unajua maana ya kujisifia?Huoni kuwa unaibiwa?na mwizi wako anashirikiana na waziri wa habari?au hujasikia serikali kupitia waziri wake ilisema LOCAL CHANNEL ni bure,wewe unalipa 6000unajisifia!!!!,haya mambo ni TZ ONLY.
Mkuu uliniuliza local channel ngapi na sio zinabaki ngapi baada ya king'amuzi kuisha labda kwa kukusaidia baada ya kifurudhi kuisha zinabaki mbili tu TBC na TV EHauko serious, nimefunga baada ya mwezi tuu kuisha hakuna chanel ata moja ya bure,
Sasa hyo haipo tena mkuu, yanabaki matAngazo yao tuu kwenye chanel 100Mkuu uliniuliza local channel ngapi na sio zinabaki ngapi baada ya king'amuzi kuisha labda kwa kukusaidia baada ya kifurudhi kuisha zinabaki mbili tu TBC na TV E
Sio mibaya, ila wako international zaidi, mm napenda zaidi kufuatilia matukio nA habari za tz kitu ambacho azam ndio wenyewe, dstv wako kimataifa zaidiKwanini mkuu nikibaya??