Yeah nina offer tangia Nov 2017 sababu decoda yangu ninayo kitamboMkuu primium Ni 169k hicho cha 19k unapata super sport ,zote?
Yeah nina offer tangia Nov 2017 sababu decoda yangu ninayo kitamboMkuu primium Ni 169k hicho cha 19k unapata super sport ,zote?
Telem. Namshangaaa?Mkuu primium Ni 169k hicho cha 19k unapata super sport ,zote?
Hpn, mfano continental ukiwa na 12 unaweza kununua kisimbuziMkuu kwani ving'amuzi vya kawaida bei gani kwa mwezi si elfu 20? Sawa na DStv elfu 19 kwa mwezi ubaya upo wapi hapo
Mkuu vipi local channel nazo unalipia kama kifurushi cha 19000 kwa mwezi kikiisha? Hebu mwenye kujua anijuze haraka nisogeze hiyo dstv Nyumbani kwangu chapuHello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na ufundi 20,000/= tu ukiwapa 100,000/= sio mbaya now nainjoi sana ni full HD kwa t-shs 19,000/= kwa mwezi.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Expurola c uwa inagala za ke za kupata zile features za expurola kama catchup, pause n. Kso nazenyew unakuw umelipia ndo wanakupa ss3 offerMax1 ni same as ss3 pamoja na hayo nikilipia napewa ss3 for 2weeks nikilipia 2 months without disconnected napewa compact ya mwezi mmoja ikiwa na ss3 kwa bei hiyo 19k
Acha kuendelea kuibiwa mkuu HAUTAKIWI kulipia 6000 ndio update local channels, zile unatakiwa upate bure bila kulipia kama walivyo to a mwongozo TCRAKing'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
169 mkuu mind u mm ni mtumiaje wa iyo kitu na nivyema ukachukua ushaur wa user, not dealers,,,, sema awa watu uwa wanaviofa vya kuwavuta watu muone kwamba vyuma vmeachia, na nkwa mda mfpMechi zote muhm unapata kwa kifurushi gani.....? Cha 169k au 19k?
U wan more, pay more, iyo ndo slogan ya dstv kakaHpn, mfano continental ukiwa na 12 unaweza kununua kisimbuzi
No hizo ni pvr services na huduma zinajitegemea ukipia 25k unapata hizo features hafu kitu kingine kizuri kwa dstv siku hizi kuna huduma ya dstv now unaiunga acc yako na os/android devices unakula live channels kwa device hata uwe safarini decoda nyumbani wana enjoy na ww unaenjoy na marafiki wengine 3 hadi 4 devices so dstv ni usipimeExpurola c uwa inagala za ke za kupata zile features za expurola kama catchup, pause n. Kso nazenyew unakuw umelipia ndo wanakupa ss3 offer
Mkuu acha izo, iyo dstv now ni available kwa wateja wenye plimiamu banaNo hizo ni pvr services na huduma zinajitegemea ukipia 25k unapata hizo features hafu kitu kingine kizuri kwa dstv siku hizi kuna huduma ya dstv now unaiunga acc yako na os/android devices unakula live channels kwa device hata uwe safarini decoda nyumbani wana enjoy na ww unaenjoy na marafiki wengine 3 hadi 4 devices so dstv ni usipime
Acha ubishi siku hizi hata bomba hapa nina bomba na nakula dstv now kama hujui kajifunzeMkuu acha izo, iyo dstv now ni available kwa wateja wenye plimiamu bana
Kwanza ebusema bei ya expurola ambayo unapewa izo offers uone kama watu wataendelea kuungana na waNo hizo ni pvr services na huduma zinajitegemea ukipia 25k unapata hizo features hafu kitu kingine kizuri kwa dstv siku hizi kuna huduma ya dstv now unaiunga acc yako na os/android devices unakula live channels kwa device hata uwe safarini decoda nyumbani wana enjoy na ww unaenjoy na marafiki wengine 3 hadi 4 devices so dstv ni usipime
Hilo ni sawa bei yake mkasi kidogo lkn around 300k lkn vitu ninavyopata ni equivalentKwanza ebusema bei ya expurola ambayo unapewa izo offers uone kama watu wataendelea kuungana na wa
Njoo tubadilishane na dstv mkuu. 0752-399070Ila kiukweli, ntaacha na Azam TV,VPL ntakuwa naenda kwa jirani,Azam Tv wamejaa TV za siasa za bongo
Sema nimeifuta na iyo app yao lakn ningescreenshooti uone na iyo bomba lako cjui la gesiAcha ubishi siku hizi hata bomba hapa nina bomba na nakula dstv now kama hujui kajifunze
Unaweka Kifurushi cha bei gani?King'amuzi changu cha kwanza kabisa wakati naanza maisha kilikua azam, nilikitumia zaidi ya miaka miwili lakini niliona hakinisaidii chochote maana VPL huwa siangalii, wamejaza chanel nyingi za dini fulani, movie zao ni outdated sana, nikaamua nihamie star times (Lool) [emoji23] [emoji23] hakikumaliza hata miezi sita nikahangaika kutafuta mteja nikawa sipati nikampatia mdogo wangu nae ndio alikua anaanza maisha ile kigeto geto.
Nikahamia dstv, sijutii maamuzi yangu, cartoon, wanyama, documentaries, movie, music mpira (la liga, epl, serie A, Absa premier league zote nazipata live), WWE na sky sports news zote live na full HD.
Sema nimeifuta na iyo app yao lakn ningescreenshooti uone na iyo bomba lako cjui la gesi