Mtu Kati
Member
- Jan 12, 2017
- 33
- 54
Azam anamtoa DSTV kwa sasa. By far
Kivipi
Azam anamtoa DSTV kwa sasa. By far
Azam ukilipa hata elfu 10 unapata channel ya Crime and Investigation. Kuipata hiyo DSTV mpaka ulipa laki na 20...Kivipi
Dstv naweza tizama ligi yetu (VPL)? [emoji2] [emoji2]Mkuu kwani ving'amuzi vya kawaida bei gani kwa mwezi si elfu 20? Sawa na DStv elfu 19 kwa mwezi ubaya upo wapi hapo
Hiyo 19000 ni bei ya king'amuzi au!Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mwezi
Kwa kipiAzam anamtoa DSTV kwa sasa. By far
Zinapokea kama kawaida. Startime nimeitupa mvungunikwani dish za satellite hazipokei signal tena mpk nika not unue hivyo vitu vya kunitoa pesa zangu kila mara
Usipolipia hiyo Buku 19, Utaziona hizo Local channel?Hapana mkuu local channel zipo 6 ITV, CHANNEL 10, STAR TV, CLOUDS TV, TBC, TV E.
Chaneli ten na TBCUsipolipia hiyo Buku 19, Utaziona hizo Local channel?