DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,542
Reaction score
1,365
Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na ufundi 20,000/= tu ukiwapa 100,000/= sio mbaya now nainjoi sana ni full HD kwa t-shs 19,000/= kwa mwezi.
ce6e861932e68f691c8e71916b84ac10.jpg
df1589c3490577f3ce6dd226b222b771.jpg
99ecbe849b90b59529a6a3e85e49dce2.jpg
a5c6b003b351b8ecca482de55d72cccc.jpg
dd95f8d2e9db92308d6a180385d393df.jpg
18d26cd28e2e395d4c08256b08825aac.jpg
 
Mkuu kwani ving'amuzi vya kawaida bei gani kwa mwezi si elfu 20? Sawa na DStv elfu 19 kwa mwezi ubaya upo wapi hapo
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.

Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
 
kwani dish za satellite hazipokei signal tena mpk nika not unue hivyo vitu vya kunitoa pesa zangu kila mara
 
Haya tumeona una flat screen
Mkuu huo ushamba kuwaza unavyowaza karne hii hahaha vitu vyakawaida nowadays TV za chogo hakuna tenaa unataka watu waoneshe nini sasa wanapotoa ufafanuzi unaohusisha TV?? Chogo hakuna bado unauswahili wakupepeta mchele nje afu unasema jilani Leo anatuonesha Leo anapika wali wakati hata kwa mama muuza umejaa kibao, zama zimeenda ndugu amkaaa usilala na majungu ya zamani ukaamka nayo miaka hii ya digital mkuu.
 
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.

Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mwezi
 
Mkuu huo ushamba kuwaza unavyowaza karne hii hahaha vitu vyakawaida nowadays TV za chogo hakuna tenaa unataka watu waoneshe nini sasa wanapotoa ufafanuzi unaohusisha TV?? Chogo hakuna bado unauswahili wakupepeta mchele nje afu unasema jilani Leo anatuonesha Leo anapika wali wakati hata kwa mama muuza umejaa kibao, zama zimeenda ndugu amkaaa usilala na majungu ya zamani ukaamka nayo miaka hii ya digital mkuu.
Hahaha sasa unafunga dstv unaanzisha uzi
 
Haya tumeona una flat screen
Choyo hicho!
Tangazo tangazo

Endelea kuenjoy tu mkuu, sisi walalahoi ngoja tuendelee kuililia Serikali ihakikishe utekelezaji wa haraka wa tamko lake la local channels kuwa free of charge.

Hahahah mkuu sio Tangazo ni serious testimony [emoji16][emoji16]

Sana mkuu

Back
Top Bottom