Hebu tudadavulie gharama za kusimamisha tofali vs mbao na gypsum board on the same wall(mbao treated,sound proofing etc)
Ok.Hapo itategemea vitu vingi. Lakini duniani drywall inachukua nafasi ya tofali kwenye kuta za ndani na sababu kubwa ni unafuu wa ujenzi wa drywalli.Sisi tu ndio bado hatujashtukia
Tatizo la Princemwalejr anakuja na teknolojia mbadala ila ikija kwenye gharama anajitoa, haweki wazi....jana alitujia na glass finishing kwenye vyumba ila gharama karuka hataki kusema.Hapa ndiyo na mimi ninapomsubiri. Atupatie hizo gharama na life span yake huo ukuta
Hata hio 'dry wall' inapigwa gypsum plaster kabla ya kupigwa rangi ndio maana hutaona tofauti yake na ukuta mpaka ugonge.Mada nzuri lakini mtoa mada umeshindwa kuja na nondo zakutosha.
Apo nimeona mbao zinaitaji nyingi iliukuta uweze kusimama je ghalama za mbao na matofali zipi zipo Juu.
na matels ya Drywall ghalam zake zipoje?
Nimeona advantage za Drywall kwamba unapoziweka ww unapiga to Rangi mchezo unaisha kuliko matofali hadi uje- kupiga ripu.
advantage nyingine niliyoiona itasaidia utunzaji wa mazingira wakati wa Ujenzi nyumba hadi ikiisha na mazingira yapo Safi kuliko matofali.
Advantage nyingine niliyoiyona ghalama ya kunuua cement utakua ndogo.
Dis-advantge zipo lakini hazina mashiko.
me naona bora tofali Je mchwa wazishambulia mbao kunaukuta tena?Hata hio 'dry wall' inapigwa gypsum plaster kabla ya kupigwa rangi ndio maana hutaona tofauti yake na ukuta mpaka ugonge.
Kwa gypsum boards mkuu haivunji kirahisi kama hata mtu kateleza na kuifanya support?Mbona hii kitu ipo. Wengi wanafanya partitions kwenye ofisi, wanatumia mbao na gypsum boards tu. Ukipiga rangi hamna mtu anaejua kuwa huo si ukuta wa tofali.
Nadhani hii itafaa kwa maghorofa zaidi.me naona bora tofali Je mchwa wazishambulia mbao kunaukuta tena?
Hata hio 'dry wall' inapigwa gypsum plaster kabla ya kupigwa rangi ndio maana hutaona tofauti yake na ukuta mpaka ugonge.
Kwa nini tuagize nje wakati gypsum tunayo ya kutosha?Wabongo tuache kuingiza iphones kutoka nje tuanze kuleta vitu vya aina hii. Tena hii inaweza hata kutengenezwa Tanzania.
Uswahilini linatobolewa tundu vijana wanafanya yao. Utashtukia wanajazana mimba tu.Mwizi itabidi akate mbao zote hizo akiwa tayari keshaingia ndani ya nyumba. Sasa nyumba za uswahilini zinakaa watu wangapi mpaka mwizi aachiwe avunje ukuta?
Kwa nini tuagize nje wakati gypsum tunayo ya kutosha?
Zinasimamishwa mbao kwanza halafu ndio wanaweka hizo gypsum board. Ukitumia nguvu inavunjika/kutoboka.Kwa gypsum boards mkuu haivunji kirahisi kama hata mtu kateleza na kuifanya support?
Au zipo ngumu kama yale wanayotumia kuwekea zege kwenye maghorofa!
Wabongo tuache kuingiza iphones kutoka nje tuanze kuleta vitu vya aina hii. Tena hii inaweza hata kutengenezwa Tanzania.
Usipangie watu biashara pimbi wewe. Tangaza biashara yako na sio kukejeli biashara za watu wengine.