Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 488
- Thread starter
- #81
Msingi huwa ni concrete slab hakuna tofali hata kidogo
Uko sawa misingi iko hivyo ila kuna vitofali fulani vifupi vyeusi huwa pia vinatumika
Msingi huwa ni concrete slab hakuna tofali hata kidogo
Kwa Tanzania no ghali mno hiyo kituMada nzuri lakini mtoa mada umeshindwa kuja na nondo zakutosha.
Apo nimeona mbao zinaitaji nyingi iliukuta uweze kusimama je ghalama za mbao na matofali zipi zipo Juu.
na matels ya Drywall ghalam zake zipoje?
Nimeona advantage za Drywall kwamba unapoziweka ww unapiga to Rangi mchezo unaisha kuliko matofali hadi uje- kupiga ripu.
advantage nyingine niliyoiona itasaidia utunzaji wa mazingira wakati wa Ujenzi nyumba hadi ikiisha na mazingira yapo Safi kuliko matofali.
Advantage nyingine niliyoiyona ghalama ya kunuua cement utakua ndogo.
Dis-advantge zipo lakini hazina mashiko.
Vipi kuhusu uwezo wa huo ukuta dhidi ya wezi?
Most gorofa wanatumia dirtt wall kugawa vyumba, dry wall inatumika sehemu ndogo sana ie storage na vyooni around elevators pia.Ukiona wanajenga magorofa kwa zege nyembamba hivyo ni kwa sababu hawana mpango wa kutumia tofali kwenye kuta za ndani. Watatumia drywall au glass.
Sikushauri utumie kwa tanzania sababu framing structure yako itakuwa ya mbao tu. Gharama itakuwa ndogo compare tofali.Kwa nyumba ya kawaida ya nyumba vitatu Na senile nahitaji material kiasi Gani Na itanigharimu shilingi ngapi?
Mchwa wanakula paper ya gypsum board. Naongea as user wa hiyo kitu.Hawawezi kuharibu labda kuchafua na inapakika rangi kirahisi.
Life span yake ni kubwa. Ila kwa nyumba za kawida bongo nasema NO unless unatumia metal framing.Hapa ndiyo na mimi ninapomsubiri. Atupatie hizo gharama na life span yake huo ukuta
Most gorofa wanatumia dirtt wall kugawa vyumba, dry wall inatumika sehemu ndogo sana ie storage na vyooni around elevators pia.
Any residential ni drywall. Commercial high rise office dirtt. Mall maduka drywallUko vizuri mkuu lakini hii mara nyingi ni kwenye maofisi. High rise apartments au condominium wanakata vyumba kwa drywall.
Mkuu mars nyingi ulaya hasa amerka ndo ujenzi wao,very cheep,,,bora utumie tofali za Moro au msata ni cheep zaidi ,,kuhusu wezi no ksms bsnda LA kuku
Nchi kama marekani all town homes na apartment wanatumia wood (timber) na dry wall size ya residential ni 1/2 inch thickness, kwahiyo wanapunguza weight kubwa sana kutumia drywal.Any residential ni drywall. Commercial high rise office dirtt. Mall maduka drywall
Any residential ni drywall. Commercial high rise office dirtt. Mall maduka drywall
Yaap good things. Im teaming up na architecture mmoja kutaka kufanya metal framing bongo tuone km people will like. Si unajuwa nchi zetu hizi. But ni kitu nzuri sana na ina last hata 300 years wewe unafanya touch up ya drywall tu.Inasikitisha sana kuona sisi bado tunabebesha watu tofali wapande nazo juu ya gorofa kujengea vyumba. Ila si haba Dar hii minara ya kisasa inachomoza mmoja mmoja kama uyoga.
Yaap good things. Im teaming up na architecture mmoja kutaka kufanya metal framing bongo tuone km people will like. Si unajuwa nchi zetu hizi. But ni kitu nzuri sana na ina last hata 300 years wewe unafanya touch up ya drywall tu.
Disadvantage ndio nyingi kushinda AdvantageMada nzuri lakini mtoa mada umeshindwa kuja na nondo zakutosha.
Apo nimeona mbao zinaitaji nyingi iliukuta uweze kusimama je ghalama za mbao na matofali zipi zipo Juu.
na matels ya Drywall ghalam zake zipoje?
Nimeona advantage za Drywall kwamba unapoziweka ww unapiga to Rangi mchezo unaisha kuliko matofali hadi uje- kupiga ripu.
advantage nyingine niliyoiona itasaidia utunzaji wa mazingira wakati wa Ujenzi nyumba hadi ikiisha na mazingira yapo Safi kuliko matofali.
Advantage nyingine niliyoiyona ghalama ya kunuua cement utakua ndogo.
Dis-advantge zipo lakini hazina mashiko.
Huu ujenzi bila shaka utakuwa na ghalama sana
Tizama izo mbao ziliwekwa kwenye ukuta Huu ujenzi kibongo bongo utakuwa unaglama Kwasababu bei ya tofali ipo chini na mbao zipo juu
Labda kwenye maofice ndio unafaa huu ujenzi wa Drywall
Alfa kwenye uimala wa nyumba tofali is the best for me.