Huduma za ujenzi wa kisasa na bei nafuu

Jan 29, 2024
1
0
Karibuni tuwahudumie katika ujenzi wa myumba zakisasa hata ramani za nyumba pamoja na structure zake
IMG_20240129_105456.jpg
 
New member
Pili spelling unakosea nyumba unaandika myumba huruki nasafi

Hujaweka contact, Huna reference za kazi zako n.k


Hii inayofanya unauza ujuzi so ni biashara
Km hujikamilishi nani atakubali kuweka mamilioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom