Drywall na ujenzi wa kisasa

Hebu tudadavulie gharama za kusimamisha tofali vs mbao na gypsum board on the same wall(mbao treated,sound proofing etc)

Hapo itategemea vitu vingi. Lakini duniani drywall inachukua nafasi ya tofali kwenye kuta za ndani na sababu kubwa ni unafuu wa ujenzi wa drywalli.Sisi tu ndio bado hatujashtukia
 
Mada nzuri lakini mtoa mada umeshindwa kuja na nondo zakutosha.

Apo nimeona mbao zinaitaji nyingi iliukuta uweze kusimama je ghalama za mbao na matofali zipi zipo Juu.

na matels ya Drywall ghalam zake zipoje?

Nimeona advantage za Drywall kwamba unapoziweka ww unapiga to Rangi mchezo unaisha kuliko matofali hadi uje- kupiga ripu.

advantage nyingine niliyoiona itasaidia utunzaji wa mazingira wakati wa Ujenzi nyumba hadi ikiisha na mazingira yapo Safi kuliko matofali.

Advantage nyingine niliyoiyona ghalama ya kunuua cement utakua ndogo.

Dis-advantge zipo lakini hazina mashiko.
 
Hata hio 'dry wall' inapigwa gypsum plaster kabla ya kupigwa rangi ndio maana hutaona tofauti yake na ukuta mpaka ugonge.
 
Hata hio 'dry wall' inapigwa gypsum plaster kabla ya kupigwa rangi ndio maana hutaona tofauti yake na ukuta mpaka ugonge.
me naona bora tofali Je mchwa wazishambulia mbao kunaukuta tena?
0feb4325a6642b9687fb8ae9538d90ea.jpg
 
Dry wall partition, waweza tumia medium density fibre board, glass, aluminium, gypsum boards, ceiling boards,
Hutumika sana kufanya partition maofisin
Kitaalam not preferred kwenye residential houses, cause ni rahis kuharibika, it's costly to provide sound and fire insulation, also issue ya privacy haijakaa vizur it's not used for long term plan, Hutumika maranying kufanya separation of rooms f
 
Mbona hii kitu ipo. Wengi wanafanya partitions kwenye ofisi, wanatumia mbao na gypsum boards tu. Ukipiga rangi hamna mtu anaejua kuwa huo si ukuta wa tofali.
Kwa gypsum boards mkuu haivunji kirahisi kama hata mtu kateleza na kuifanya support?
Au zipo ngumu kama yale wanayotumia kuwekea zege kwenye maghorofa!
 
me naona bora tofali Je mchwa wazishambulia mbao kunaukuta tena?
0feb4325a6642b9687fb8ae9538d90ea.jpg
Nadhani hii itafaa kwa maghorofa zaidi.
Sio mtaalam lakini najaribu kufikiri kwa swala la mchwa, ground floor unatumia tofali kisha kule juu unatumia hii kitu na pia itafanya jengo lako kuwa jepesi na pengine hutaona expansion joint
 
Wakati mnajadili faragha na privacy kwa nchi kama Marekani labda nyumba za zamani sana ndio utakuta kuta za ndani zimejengwa kwa tofali. Mambo yote ni drywall.
 
Kwa gypsum boards mkuu haivunji kirahisi kama hata mtu kateleza na kuifanya support?
Au zipo ngumu kama yale wanayotumia kuwekea zege kwenye maghorofa!
Zinasimamishwa mbao kwanza halafu ndio wanaweka hizo gypsum board. Ukitumia nguvu inavunjika/kutoboka.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom