Kazi mnayo. Mtu unaanza kuwa too personal to me kuliko kuwa personal na maisha yako!!Watu hawana hasira na dropouts, wana hasira na wewe(mtoa mada) ambaye umedrop ila kichwa kiko tupu hujui nini unafanya..unatakiwa urudi shule kwa hali ninayoiona kwako ili uondoe ujinga na upumbavu ndo uje mtaani kuendelea na maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Big brain...Mafanikio yetu yanatokana na namna tunavyo fikiri, nawapongeza wote wanao amua kusonga mbele na kutumia vipaji na juhudi kufanya vizuri kimaisha.
Kumbe million 10 inaweza kukununua, karibu PMMtu anaejiita dropout (mtoa maada), kwa anadai anakopesha hadi milioni 10 ( kama unavigezo )
Swali, je huo mtaji kautoa wapi??
Kwa hali ya uchumi wetu tz tuanaujua. Mtu mwenye capacity ya kukopesha 10M sio wa kawaida.
Kwahyo uyu jamaa asidanganye tena watu wadrop out kma vile mtaani kuna fursa njenje za utajiri.
Ushauri wangu.
Kama umepata nafas ya kusoma jitahdi umalize. Ishu sio kua na cheti. Ishu ni kua na FANI (vyeti ni kwaajili ya utambulisho juu ya fani uliyonyo), ambayo kwa msomi mtanzania, kutoka familia maskini ndo mtaji wa kuanza nao.
Mbali na fani uliyonayo, ukiingia mtaani unaweza pia kupambana katk fursa zngne kma vile biashara, kilimo, udalali etc & a mixture of hustlings., Wakat huo uko na fani yako pia ipo. Hapo unakua unapambana wakat huohuo ikitokea fursa inayoendana na fani yko unaweza kuingia, iwe ni ajira au umepata mtaji unatka kujiajir kufnya ishua inayoendana na fani yko.
Mwisho wa siku mkono unaenda kinywani. Na ukipambana kwa kujituma, bila kua na tamaa, huyu mungu ni wa kwetu sote. 3 to 4 yrs lazima utakua mbali.
Tuache kupotoshana. Life is not that much easier (Except kwa wachache sana).
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaani kama mtaani hali sio poa kweli hasa kwa mliosoma na kupata vyeti, ila mtaani plus akili ya kutumia Potential mind tayari ni fursa, tumia watu kujikwamua kumaisha, ukitaka kutumia cheti ndo utaishia kutafta ajira ili uwe na uhakika wa kula.
Boss nipe kazi ..tajiri mkubwaUna sense pole na kusoma sana, hao uliowataja wapo kwa ajili yetu sisi ndo tunawapa kazi hizo.( So mwenye kusoma asome mwenye kuacha aache) by the way why nyie watu mliofanikiwa kumaliza shule tu, mnakuwa na kinyongo flan na ambao hawajamaliza na wana hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mikopo inaendeleaje hapo chuoni UDOM
Supu!!!wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
View attachment 1236058