Dreva wa nyumbani anamnyima usingizi.......

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na huyu dreva wao.....ananiambia siku hizi kila jumamosi mke wake anampigia huyo dreva simu amfuate ampeleke kwenye mizunguko yake...kurudi ni late afternoon and siku ingine jioni......nikamuuliza kwani kuna shida gani dreva kua karibu na bosi wake, jamaa kidogo aniwashe kibao.......Kwa kweli tabia ya vijana wadogo kuajiri vijana wenzao kuwa madereva wa nyumbani ni uvivu wa kupindukia.....haohao ndio wanawaharibu watoto na kuharibu hata ndoa..kuweni makini jamani.
 
hapo dereva soon atachukua nafasi ya kuwa baba mwenye nyumba
Hiyo mizunguko anayoenda mumewe hajui ni ya wapi na anaenda kufanya nini maana kama hana biashara au shughuli za mjini anaenda wapi
 
kwani hizo siku za weekend ye hawezi kumuendesha mkewe.........

kwenye the so called "Mizunguko yake"

dereva ataanza kumsaidia so soon
 
Kwa kweli sijui....Mimi huwa naangaliga tu........wote waajiriwa hamna hata mmoja mwenye biashara...
 
Kama shamba lilimshinda wacha wenzie wamsaidie kulima, yeye ndio sababu ya yote hayo,kwanini aliwacha nafasi kiasi hicho?
 
kwani hizo siku za weekend ye hawezi kumuendesha mkewe.........

kwenye the so called "Mizunguko yake"

dereva ataanza kumsaidia so soon

Mambo....ataweza wapi ndugu yangu na viringe vya jumamosi vinavyonogaga..........tatizo mke anagari yake....deal ilikua wamtumie dereva weedays only kwa ajili ya kubana matumizi ya mafuta ....hivyo wanatumiaga gari ya mwanaume na ya mama inapaki ... sasa mama kanogewa yeye sasa ivi anamtafuta dereva mpaka weekends anatokanaye......sasa sijui kanogewa na dreva anavyo mride.
 
Sasa hapoooo ndo kuna mushkeli. Ila kama anajiamini na huduma atoayo ndani apunguze stress.
 
Ni wivu tu amwache kijana wa watu afanye 'udereva' huko!

Hata mimi nilimuuliza kwani kunashida gani dereva akiwa karibu na bosi wake>? jamaa kidogo aniwashe keleb......nikaona nipisiendeleze mazungumzo.
 
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na huyu dreva wao.....ananiambia siku hizi kila jumamosi mke wake anampigia huyo dreva simu amfuate ampeleke kwenye mizunguko yake...kurudi ni late afternoon and siku ingine jioni......nikamuuliza kwani kuna shida gani dreva kua karibu na bosi wake, jamaa kidogo aniwashe kibao.......Kwa kweli tabia ya vijana wadogo kuajiri vijana wenzao kuwa madereva wa nyumbani ni uvivu wa kupindukia.....haohao ndio wanawaharibu watoto na kuharibu hata ndoa..kuweni makini jamani.

mpuuz huyo jamaa

huyo dreva hamlipi mshahara?mafut akwa mwezi gari inayokula sana haizid laki 2 hadi tatu.......huyo dreva anamlipa ngapi?
 
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na huyu dreva wao.....ananiambia siku hizi kila jumamosi mke wake anampigia huyo dreva simu amfuate ampeleke kwenye mizunguko yake...kurudi ni late afternoon and siku ingine jioni......nikamuuliza kwani kuna shida gani dreva kua karibu na bosi wake, jamaa kidogo aniwashe kibao.......Kwa kweli tabia ya vijana wadogo kuajiri vijana wenzao kuwa madereva wa nyumbani ni uvivu wa kupindukia.....haohao ndio wanawaharibu watoto na kuharibu hata ndoa..kuweni makini jamani.

akicheza dreva ataendesha kila kitu,gari,mke,watoto,familia etc etc
 
dereva atakuwa kesha anza kumuendesha hadi kwenye viwanja vya 6*6.
 
Embu mwacheni bibie akachune mabuzi yake! Mume kukukaba hadi chooni inahuuuuuu!
 
......kibamia is sweeter when compared than when no comparison....
 
Kwanini huyo mama/wife asi drive mwenyewe hizo siku za weekend?
 
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....

Unaajiri dereva ili kubana matumizi ya mafuta....teh teh teh....hizi sredi zenu za siku hizi MMU huwa zinanishinda

Na hapo kuna ishu ya kuwarudia tena teh teh :smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom