Dreva wa nyumbani anamnyima usingizi.......

Dreva wa nyumbani anamnyima usingizi.......

True....nakumbuka nimekulia kijijini.....ilikua kila siku lazima nitwange kilometer za kutosha kwenda shule na kurudi nyumbani...na ninaporudi natakiwa niiingie shamba kukatia ng'ombe.....kipindi cha kuchuma kahawa ilikua napiga asubui na jioni kabla na baada ya shule.....imesaidia maana kwangu sina hata gardener...nina masai tu kwa ulinzi....kila kitu mwenyewe isipokua kufua na usafi wa ndani........vijana wa siku hizi utakuta nyumba ina wafanyakazi watano...mahosegirl wawili.....kijana wa garden.....mlinzi na dereva......ni janga kubwa sana.

Ndo maana wanalalamika hawana nguvu za kiume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom