Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Akyanani umenikumbusha mbali ...... yolanda..... Lakini wakati huo tulikuwa tunaonekana wa maana saanaaaa.... Anyway nikabadili na nikaanza kutumia COBRA.....

Shati la eagle na jeans za lee west made from tz.Ukifua mguu mmojaunakuwa mfupi au unabana zaidi.
 
you made my day
 
Hahaaaaa how about u, do u take u a time to look u a self and make recomendation. Just try b 4 make criticisim
I hate this type of nonsense writing, very much so, especially when posted by a man.
 
Reactions: Aza
Alafu na nyie wadada mnakera kweli na hivyo vijeans vyenu vyakubana (eneo la soksi) inakua kama umevaa mfuko wa kukamulia machicha.....na kofia zenu za nyuzinyuzi na matundu hovyo kabisa.
 
Alafu na nyie wadada mnakera kweli na hivyo vijeans vyenu vyakubana (eneo la soksi) inakua kama umevaa mfuko wa kukamulia machicha.....na kofia zenu za nyuzinyuzi na matundu hovyo kabisa.

haya chomoa suruali kwenye soksi fasta! Na next time ukivaa raba tinga na jeans na sio suruali ya kitambaa.
 
Karucee fafanua zaidi kwwnye not dressing according to age, naona unapiga nusunusu tu?
 
kweli kabisa umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…