Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Karibu nisahau hawa wanaokazaga mikanda mwisho wanaonekana kama nyigu ama wasp! Kajitu kenyewe kiuno cha kufungia mkanda ni cha kubipu sasa yeye anataka apige kabisaaaa. Doh.
 

mathematics and cynic, just so you know mie siongelei celebs. Naongelea watu wa kawaida katika jamii.
 
Nilitegeme mleta mada uanze kuchukia dress code ya wanawake ambayo kwa sasa inaelekea kwenye nakedness!!!

kila siku kuwasema kina mama? Na nyie musemwe lini?
Change ni mimi, ni wewe, ni sisi
 

Hapo kwenye namba 1 kuna vijana wa kiume wanachefua kweli siku hizi yaani unakuta amevaa kijisuruali cha bright pink au shiny orange(ambacho sio size yake na kapo chini ya makalio) halafu juu kafulana ka 'Iron Maiden' kamembana na chini ana vijiraba vya mtoto mdogo.
Kichwani kaweka wave kaliii au kasuka cornrows.Masikioni ana hereni moja,mdomoni lipshine sijui lipgloss hata sitamani kuangalia mara mbili plus kifuani ana cheni za kuazima na kapelo imeandikwa YMCMB.
Sasa huwa najiuliaza hivi huo ndio utanashati au akili za watu zimeanza kuoza kidogo-kidogo.Inatia huruma sana kuona kijana wa kiume akipoteza his identity as a man.
 
mnhhhh..mleta mada umeleta hoja ... mie pia huwa sipendi hata kusikia hawa vijana wetu na vijisuruali vya dada zao na wanavivaa chini ya makalio kiasi kwamba najikuta nikiona aibu kama mwanaume...MTOTO WA KIUME LAZMA UWE BOLD AS A REAL MAN N NOT A GIRLISH MAN....KUACHA VIFUA WAZI NA MBWEMBWE ZINGINE NADHANI NI SUBJECT YA KUWATEGA MABINTI...MAANA NA NYIE NAO MNAJIFANYA KUPENDA WANAUME WALOJENGEKA MISULI MNATUITA 6-PACK MEN..

vijana woote kipindi cha nyuma tulijazana gym kujenga vifua kuvutia warembo....sasa kama mtu kifua hana na bado kaacha wazi na hasa maeneo ya dar inawezekana ni kwa joto hili linalosumbua la 38 deg of celcius.
 

umenichekesha. Wanakuwa kwa wanaume hawapo, kwa wanawake wanatafutwa. Damn fools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…