Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
umekosa kazi ya kufanya. this is one cost of unemployment anyway.
 
View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Wanaharakatii hao
 
Dkt Hamis Kigwangala namkuta sana Mitaa fulani kavaa Jeans yake maarufu vijana wanaita 'Kamatia chini'.
 
walis
View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
ukumizwa tu unategemea nini?
 
Watendaji wa serikal huwa wana dress code zao kisheria kwa mfano kuna Mavazi ukiingia nayo pale Wizara ya mambo ya ndani ya nchi unazuiwa kuingia ndani kupata huduma
Kweli kabisa mkuu
Sasa kwa nini linapuuzwa hili?
 
Kweli kabisa mkuu
Sasa kwa nini linapuuzwa hili?

Kigwangala kaokotwa pale WAMA hajawahi kuwa Mtumishi wa Umma ndio sababu hajui

Kangi Lugora alikuwa Kachero malapulapu wa Jeshi la Polisi ndio sababu hajui dress code!

Ukitaka kujua namna ya kiutumishi Mtazame January Yusuph Rajab Makamba, kuwa kwake foreign affairs na Jakaya moja ya vitu alivyojifunza ni pamoja na dress code
 
Unajua maana ya dress code?
 
Masopakyindi

Kuna neno linaitwa kula na kipofu. Mtumishi wa umma akivaa vizuri anaambiwa anaiba, ndiyo maana wanavaa kama wafanyakazi wa mhindi.
 
Labda lakini mbona mavazi yao kiwastani yanawastahi?
 
Back
Top Bottom