Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Ahahahaha aise nmecheka sana kwenye hyo description ya tumbo
 
we unashangaa hilo tu?
kuna waziri ana msuko wake wa 'twende kilioni' ambao hata ningekuwa na mtoto wa kike nisingemruhusu asukwe vile aisee!
 
Back
Top Bottom