Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,621
Reaction score
14,577
th.jpg

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
 
Hawajielewi,na ndo maana maagizo yao mengi hayatekelezwi
 
View attachment 686722 Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Mawaziri wangapi umewaona wakitoa maagizo na dress code hii?
 
View attachment 686722 Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.

Hamis Kingwangala anafaa kutoa impression kwa public kuwa yupo vitani kila wakati. He is so funny!
 
View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.

Mambo yasiokuwa na maana ndo unapoteza nayo muda, tangu lini mavazi yakalisha mtu?
 
View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Hayo ndio madhara ya kuchagua watu washamba .
 
Unazungumzia zile suit za mkoloni?, asili yetu ni majani, hata hivyo wanajitahidi
 
Back
Top Bottom