Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

Unajua maana ya dress code?
A dress code is a set of written and, more often, unwritten rules with regard to clothing. Clothing, like other aspects of human physical appearance, has a social significance, with different rules and expectations applying depending on circumstance and occasion. Within a single day, an individual may need to navigate between two or more dress codes. For example, many navigate between a home dress code and a work dress code; usually this ability is a result of cultural
Source: Wikipedia
 
Ukiwa field siyo lazima kuvaa masuti.
Mtu anatembelea majaruba ya mpunga, suti ya kazi gani.
 
Unajua maana ya dress code?

ukiniuliza uko wapi muda huu?

naweza nikakujibu

nipo Kawe, nipo Dar es salaam, nipo Tanzania au nipo Africa

yote hayo hayo yanaweza kuwa majibu sahihi au yasiwe majibu sahihi kulingana na mtu anaekuuliza na mahali alipo muulizaji!

ukituliza akili utakuwa umepata jibu la swali uliloniuliza
 
Hujajibu swali!
 
Kawe uko mahali gani mkuu tupige balimi!
 
Kigwangala kaokotwa pale WAMA hajawahi kuwa Mtumishi wa Umma ndio sababu hajui

Kangi Lugora alikuwa Kachero malapulapu wa Jeshi la Polisi ndio sababu hajui dress code!

Ukitaka kujua namna ya kiutumishi Mtazame January Yusuph Rajab Makamba, kuwa kwake foreign affairs na Jakaya moja ya vitu alivyojifunza ni pamoja na dress code
Mkuu kuna viongozi wanavaa horribly hadi unasikitika.
Uswahilinization ya appearance ya cabinet.

Sasa akiingia waziri na makubadhi ofisini sijui itakuwaje.
 
Mkuu kuna viongozi wanavaa horribly hadi unasikitika.
Uswahilinization ya appearance ya cabinet.

Sasa akiingia waziri na makubadhi ofisini sijui itakuwaje.

Mkemia Mkuu wa Serikal kuna Siku alivaa Kaunda suti Halafu kwa ndani akatupia shati la pundamilia Halafu yupo live TBC na Mtangazaji kavaa suti inameremeta Kama Sambusa imeopolewa kwenye Mafuta
 
ila siku izi mkuu wa nchi anapiga suti matata sana, zinampendeza balaa na anapendeza si mchezo.

mwigulu na nguo zake za bendera kila siku anachosha sana.
 
Watendaji wa serikal huwa wana dress code zao kisheria kwa mfano kuna Mavazi ukiingia nayo pale Wizara ya mambo ya ndani ya nchi unazuiwa kuingia ndani kupata huduma
Hili ndio wachangiaji wengi hawalielewi Formal dress kwa kwa mtumishi wa ngazi stahiki kama waziri sio hiari bali lazima ili kutengeneza dignity.
 
Kweli kabisa, inaleta ukakasi pale mnapotinga suti kumpokea mgeni halaf yeye anafika kavaa nguo za michezo kwa ziara isiyo ya kimichezo.
Nilimuona Kangi Lugola alipokuwa ziarani Ukerewe Mwanza akitoa maagizo ya kukamatwa kwa meneja mradi na wenzake. Nikawa najiuliza huyu ni Waziri au Rais Wa TFF?
 
Ni kweli kabisa. Kweli Mhe. Waziri anavaa track suit mbele ya wananchi na pili wengine wanavaa mashati hata bila kuchomekea. Mhe.Waziri ni kioo mbele ya wananchi ni vyema mkaonekana nadhifu mbele ya umma.
 
View attachment 686722

Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.

Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.

Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.

Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.

Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Ushambaa na ulembukeni by Zito
 
Back
Top Bottom