Dreadlocks!

images (59).jpg

Heaven Sent I see you
 
Mie dreads ndo naziweza make kusuka siwezi, weaving wigs nazionaga tu kwa watu
Mmh mbona kunitamanisha teh. Nimenyoa nina kama miezi 15 now. Ni rough dreads na braids tu. Hata hizo braids nalazimisha tu, maana sio kwa kuniwasha ndani tu ya week. So huwa nasuka braids, napunguza Naweka rough dreads hivyo hivyo. Ngoja nione kama ntawiwa, maybe ntakujoin. weaves, Mawigi, kuweka dawa kumeshanishinda, basi tu hugu gubichwa kama panzi teh, nahisi ningenyoa para kabisaaa
 
Sokota dreads teh ila uwe mvumilivu kwa miezi kadhaa makes hadi zije zilock unaeza tamani kuahirisha
 
Dreads zinaongeza mvuto
[HASHTAG]#teamnatural[/HASHTAG] :D
sana sio kidogo,dread kwa anae zijui inaonyesha wewe ni msafi kiasi gani,kuanzia usafi wa mwili mpaka roho popote pale wewe ni mtu wakuaminiwa first kabla ya wengine,nadhani saivi ongezeko la wadada wanao sokota dread limekuwa kubwa but hawazitendei haki..!!!dread is too romantic wadada
 
Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol
 
Back
Top Bottom