msaada Mimi nimeanz Jana dread cna uzoefu wowote ila tatizo nikwamba nimeamka asubuh. kichwa hakitamaniki zile nywel zipo nyeupenyeupe utadhan umepaka sabuni alafu yamepaukapauka. nikashauliwa niende saloon nikaushe, nikakausha ikakauka , Ila sasa ivi tena usiku yamepauka tena. Swali ni kwamba nimwendo wa kupauka hivi?, je coz nawa s was ntashindwa sasa maana ntaendaje kazin asubuh kwa mpauko huu. au hilo litaisha