Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Kwa sasa hivi kwenye nchi hii na ilivyochafuka ni Dr Slaa tu atauvusha I hope Chadema watampendekeza na baadaye UKAWA wampitishe
 
oh boy! here we go again Padre slaa....:A S 100:
 
Sijakiona cha maana kuiongoza nchi kama Tz labda Ubunge wakimboni kwake mambo yote yaliyobaki ni muhimu kwa kondoo za bwana.
Dr Slaa ataongoza Kondoo wa bwana wa Tanzania baada ya uchaguzi October 2015 kutokea pale IKULU
 
Fact ni fact tu Dr Slaa aliwahi kuwa Padri lakini sasa si Padri na atakuwa raisi wa nchi hii

hahaha ......Ah wapi...! Kiapo chake cha kutumikia kanisa kilimshinda ataweza kuongoza watu milioni 40 na ushee wa dini mbalimbali ..?
 
hahaha ......Ah wapi...! Kiapo chake cha kutumikia kanisa kilimshinda ataweza kuongoza watu milioni 40 na ushee wa dini mbalimbali ..?
Kwenye kiapo kusingekuwa na utaratibu wa kutangua kiapo basi angekuwa bado padre maadamu kanisa liliridhia aondoke basi huna sababu yakujikausha kama hufamu muundo wao tunamgoja atinge IKULU sisi akasafishe mafisadi
 
jamanibkumbukeni kujiandikisha ili kumpigia kura shujaa wetu.
 
Kumchagua Dr Slaa ni sawa na kumdhamini msomali mahakamani....
 
Kwenye kiapo kusingekuwa na utaratibu wa kutangua kiapo basi angekuwa bado padre maadamu kanisa liliridhia aondoke basi huna sababu yakujikausha kama hufamu muundo wao tunamgoja atinge IKULU sisi akasafishe mafisadi

labda awe raisi wa kwako weye binafsi.... watanzania walimkataa mwanzoni na atakataliwa tena .....
 
Kwenye kiapo kusingekuwa na utaratibu wa kutangua kiapo basi angekuwa bado padre maadamu kanisa liliridhia aondoke basi huna sababu yakujikausha kama hufamu muundo wao tunamgoja atinge IKULU sisi akasafishe mafisadi

Mkuu,

Hao wafamaji, kwani ni viapo vingapi wapeapa hao magamba na bado wanaenda kinyume navyo! Heri Dr. mwenye kibali cha kutoka huko ili alitumikie taifa kwa viwango vingine.
 
Tangazeni nia za urais hata kwa mamia yenu...lakini kiboko chao Dr.Slaa...hilo mwalijua....tunasubuli Oct 2015.
 
hahaha ......Ah wapi...! Kiapo chake cha kutumikia kanisa kilimshinda ataweza kuongoza watu milioni 40 na ushee wa dini mbalimbali ..?

Kibaya zaidi anakula kondoo anaotakiwa kuwachunga.
 
Huu uandishi wako wa kike peleka Facebook.

Nasikia rizone amekamatwa china anauza unga na meno ya tembo!ole wenu maccm Dr slaa aingie magogoni mtatembea uchi na ujambazi wenu razima lowasa,chenge,rostam na dhaifu wanyongwe adharani
 
Back
Top Bottom