Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Hee makubwaa tumshawish uyo babu kwa kitu ambacho ndo kinamzeesha kukiwaza......you are lost
 
eee bhana hizi rangi nyekundu kwenye hiyo list of shame inamaanisha kitu gani mkuu ? ufafanuzi ni muhimu sana .
Mkuu watanzania watambue kuna Alliance ya mafisadi imejichanga kutinga ikulu.Baadhi yao akiwemo mgombea wao wapo kwenye list of shame
 
Dr. Slaa ni janga kwa taifa,ukianza hivyo na vyama vingine vya ukawa vitaleta watu wao. Wazo lako n la kuutenganisha ukawa
 
Dr Slaa najua watu watakimbia Nchi siku akipitishwa tu.
 
Hatuwezi kuzuia mafuriko ya mabadiliko kwa mkono viva ukawa
 

Attachments

  • 1433694306547.jpg
    1433694306547.jpg
    48.4 KB · Views: 337
Mambo 9 Kuhusu Dr.Wilbroad Slaa

1. Anachokisimamia

Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na utendaji serikalini.

Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania wanaweza kuleta mabadiliko wanayoyataka wakipata uongozi bora na thabiti..

...Kwa mtizamo wangu dr.slaa hana maadili na sio muadilifu na haaminiki..angekuwa muadilifu na mwaminifu asingelisaliti kanisa katoliki.
Ni mtizamo wacko tu! Alipoona upadre unamshinda, alikuwa mwepesi kukiri na kuachana, yaani sio mnafiki! Kwa sifa hii Dr Slaa is honest not only to himself but to his society! Ni mapadri mangapi na pia masheik na wachunagsji wanaishi kiunafiki katika jamii yetu? Bora nikawa na kiongozi akianguka akijikwaa anakiri nimeanguka, kuliko kuwa na kiongozi mnafiki! Oh Mimi nawajali kumbe!
 
Hapo kwenye elimu, kuna mtu anasoma PhD bila hata degree yoyote? - Majanga.
 
Mambo 9 Kuhusu Dr.Wilbroad Slaa

1. Anachokisimamia

Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na utendaji serikalini.

Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania wanaweza kuleta mabadiliko wanayoyataka wakipata uongozi bora na thabiti..

...Kwa mtizamo wangu dr.slaa hana maadili na sio muadilifu na haaminiki..angekuwa muadilifu na mwaminifu asingelisaliti kanisa katoliki.


Kati ya Dr.slaa na wanaojidai wanauchungu wa nchi nanu kaisaliti nchi?
Tumeendelea kutegemea bajeti yetu kwa 65% nje huku tukiacha wezi wakiibana kutolipa kodi!

2. Tumeendelea kujaziwa urais wa kifalme na hao unaodhani wanamaadili walitetea wizi wa fedha za Esrow na kusema si za serikali?

3. Wamewasaliti watanzania kwa kuendekeza rushwa hadi huduma za afya, elimu zimekufa!

Dr.slaa mnamhofia kwa uadilifu ule walioiba wanahofu nae hakuna jingine!

Ccm ni Nzige
 
Back
Top Bottom