Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Tunasubili siku yakuteuliwa kwake kisha kujitokeza mara ya kwanza kama mgombea pekeee urais....Ninachojua magamba yatakoma.

Utitili wa magamba kutangaza nia ni mkakati wao wa tutoke vipi....coverage ya vyombo vya habari, na kufunika ufisadi wao....watajichanganya sana....pakutokea hawatapaona.
 
Dr.slaa ni rais wangu hadi sasa..kila nikisikia maneno yake upata faraja..hakika huyu ni mtu wa aina yake..Mungu akubariki dk.slaa
 
Hakuna gamba linaloweza kufika hata robo ya Dr.Slaa.Hawana mgombea,walichobakisha ni kutumia dola kutupokonya ushindi
 
Mkuu huyo ndiye Rais wetu na watanzania tunalijua hilo na ndivyo ilivyo na ni muda tu afunguliwe lango la magogoni.
 
Dr.Slaa ni lina atafunga ndoa na Josefin Mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,Kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu

Bila kujali vitisho vya watawala
aliibua rasmi kafsha za ufisadi
mbaya kuliko zote zilizowahi
kutokea hapa nchini zikihusisha
wizi wa fedha za umma katika
Benki kuu. Madai yake mazito
Bungeni yalimlazimisha
aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu
nchini kutoroka nchini.
 
Kwa jinsi nilivyojionea kwa Membe leo, ukimuondoa makongoro Nyerere bado hakuna mgombea wa ccm anaweza kupambana na Dr slaa.
 
Dr slaa anatisha, cv yake kila alipopita ni ya kutukuka. Naamini ataifanyia Tanzania mambo makubwa!
 
hakuna kiumbe yoyote ndani ya ccm anayeweza kupambana na Dkt Slaa.....hakuna
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini Dr.Slaa hatumii kifaa cha kutafsiri lugha anapokuwa manchi ya mbele.Kumbe anajua lugha 8

Dr slaa ni noma! Ni msomi aliyebobea zaidi katika taaluma mbalimbali hapa nchini kwetu. Ukiachilia mbali swala la taaluma aliyo nayo, swala la lugha za kimataifa linamfanya Dr slaa awe wa pekee sana. Kireno anajua, kiitaliano anajua, kijerumani kama Maji, nk.

Ukiwa na rais mwenye uwezo wa lugha za kimataifa katika nchi, tambua kwamba huo ni uchumi anatembea nao. Akienda ulaya akazungumza lugha yao wao wenyewe wanamwaga mihela tu. Mfano mzuri ni mihela anayopewa na wafadhili toka nje hilo halina ubishi Dr slaa ni wakimataifa.
 
This time nitashiriki kwa hali na mali Dr Slaa kwenda ikulu......nimechoshwa na wezi wa CCM.....
 
We kima kweli.Kwani ni nyuzi ngapi zipo humu kuhusu ugombea wa huyo jamaa yako anayeficha kuugua Parkinson's disease? Au huyo handsome wako wa Mtama? Huu uzi ni tofauti kwa sababu 2015 sio 2010.
Mods msimsikilize huyo.
Mleta mada,

Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.

Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom