Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Bavicha mnamshawishi Slaa kwani mna mgombea mwingine zaidi yake? Kuna mtu ana ruhusiwa kupambana nae?
 
Mungu amtangulie daima Rais watu 2015-2025
 
Rais bora hatoki kwenye chama wala kwa mungu,coz mungu hakuwahi kutuletea rais bali Mitume,,mnaosema dr. ndio rais bora mmepotea,president anatoka kwa whiteman subiruni muone,,Neo col....
 
CCM,CHADEMA,ACT,NSSR,CUF na vyama vyote,,wote ni wale wale tu,Jitume usisubir serikali,wao wenyewe wapo kazini wanajituma kukudanganya ili wapate kujikimu,ww unadhan nani anakukumbuka baada ya kuingia madarakani,,fight kivyako sio unapoteza muda kupigia debe wenzio,,unatakiwa ufanye responsblts zako kama mwananchi na c mpga debe.
 
Padre haoi kama kao sio padre kuwa waelewa kama kamkosea Mungu basi Mungu ndiye mwenye hukumu. Wewe na dr WP Slaa nani kalaaniwa? Mungu kamjalia na watoto
 
yani mimi katika maisha yangu sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri wa hali ya juu kama Dr Phd yani....alipotangazaga tu list of shame pale mwembe yanga Temeke alafu kamtaja hadi mkuu wa nchi na mafisadi papa mengine akiwemo fisadi mmoja aliyetangaza nia na mtu mwenye mamlaka yote kama Prof Dr jk..huyu mtu akipewa madaraka tu yani mafisadi papa yote ya list of shame,miuza unga, mijangiri sugu yote itakuwa segerea....we need Dr Slaa more than anybody....May God grant him health and wisdom to lead us with example and integrity...
Our beloved 5th president of RPT
 
Slaa hachoki tu mbio za uraisi, angepunzika tu ushauri wa bure.
 
Slaa hachoki tu mbio za uraisi, angepunzika tu ushauri wa bure.
kwani amewahi kugombea mara ngapi mpaka achoke...
na hawezi kuchoka wakati vibaka na majagiri na mafisadi yanataka kwenda ikulu kutuibia ....
atachoka mpaka ufisadi na uadilifu uwe una sura ya kujitegemea kwenye katiba na mijizi yote na migamba yote ikiwa keko na segerea
 
Tumia busara ukisema amelisalit kanisa sikuelewi fafanua. Km hujatumwa, basi utakuwa na mtindio wa ubongo. Kwa taarifa yako mapadri, maaskofu hata baba mt. Sio wafungwa ktk kanisa bali watumishi wa mungu. Hivyo kanisa lina sheria zake za kuingia kumtumikia Mungu na kanisa lake. Na kutoka pia kuna taratibu zake ambazo Dr Slaa alitimiza na ndio maana amebaki km mkatolic safi. Na anaeruhusiwa kuzitoa baadhi ya sakrament. Mtafute Dr E. Nchimbi msomi huyo mkatoliki atafafanua zaidi yangu.
 
Inapendeza kusikia CCM nao wanaimba nyimbo za Dr.Slaa na Chadema,ninamsikiliza Nape na Kinana huko Bukoba,wanakemea ufisadi,mara wakiingia madarakani watabadili sheria zinazolinda mafisadi,haaah haah kwani nani yupo madarakani c.c Ritz
 
Last edited by a moderator:
Hatuwezi kumkabidhi hii nchi mzee mzinifu...
alikuzinia nani yako mkuu.pole kwa kuziniwa nduguyo.btw vijana njooni na hoja za kumfikirisha Dr.Slaa.unless mkiri kwamba wapinzani wetu hamna hoja mana hata chama chenu kimewashinda mnasafiri kwa matumaini
 
Back
Top Bottom