Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Habari Wakuu.Ninaleta kwenu Dr.W.P Slaa The Special Thread.Uzi huu una malengo makubwa mawili
  1. Kumshawishi Dr.Slaa aone umuhimu wa kuomba ridhaa ya kugombea urais kupitia UKAWA.Na vilevile kuwashawishi UKAWA waone busara ya kumptisha Dr.Slaa kupeperusha bendera ya UKAWA.
  2. Kuweka pamoja katika JF harakati za Dr.Slaa(kama atapitishwa) kuanzia kuchukua fomu,harakati zote za kipindi cha kampeni mpaka kusimikwa na kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

"wabarikiwe wazazi wako waliokuzaa"
 
attachment.php
 
Mleta mada,

Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.

Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
Team Lowasa leo kule kwa Wamwela wamewaambia mnaishi kwa matumaini siku nguvu za dawa zikishindwa mna R.I.P.
 
Last edited by a moderator:
mambo 9 kuhusu dr.wilbroad slaa

1. Anachokisimamia

dk slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na utendaji serikalini.

Dk. Slaa anaamini kuwa watanzania wanaweza kuleta mabadiliko wanayoyataka wakipata uongozi bora na thabiti..

...kwa mtizamo wangu dr.slaa hana maadili na sio muadilifu na haaminiki..angekuwa muadilifu na mwaminifu asingelisaliti kanisa katoliki.

imeandikwa katika kitabu kitakatifu biblia ni heri kuowa ama kuolewa kuliko kuaka tamaa dr. Slaa amechagua fungu lililojema kuoa .
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.
 
Sijakiona cha maana kuiongoza nchi kama Tz labda Ubunge wakimboni kwake mambo yote yaliyobaki ni muhimu kwa kondoo za bwana.
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.
we ni kilaza 100%
 
Tz kwa sasa sijamwona wakumlinganisha na Dr.

Tunamuomba ate nia na UKAWA tupeni huyu mtu.
 
Mambo 9 Kuhusu Dr.Wilbroad Slaa

1. Anachokisimamia

Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na utendaji serikalini.

Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania wanaweza kuleta mabadiliko wanayoyataka wakipata uongozi bora na thabiti..

...Kwa mtizamo wangu dr.slaa hana maadili na sio muadilifu na haaminiki..angekuwa muadilifu na mwaminifu asingelisaliti kanisa katoliki.
Kamanda! Dr.Slaa anasimamia maadili gani? Hivi unajua Dr.Slaa alishaitelekeza familia yake na kwenda kupora mke wa mtu na kumpa ujauzito.

Mpaka saa hivi Rose Kamili mzazi mwenzake kafungua kesi ya kudai fidia kwa Dr.Slaa kwa kutelekeza watoto.

Maadili yapo kamanda labda tufahamishe.
 
Back
Top Bottom