Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,431
- 271,924
asante mkuu .
Moja Kwa Moja Ana Kura Yangu Baba Slaa
utakufa wewe na roho baya lakoHuyu kibabu slaa sinpendi sana bora AF......eeee
na zote bila kigugumizi kama mk.were.anatiririka kama majieee bhana mtu mmoja lugha 8 !
Huyu Baba Paroko mbona kakimbia kazi ya kanisa?
na zote bila kigugumizi kama mk.were.anatiririka kama maji
nasema hivi , kuwa na mtu kama huyu ndani ya nchi ni bahati ya mtende , unafiki tuache .
Slaa atuambie sababu iliyomfanya akafukuzwa upadri