mleta mada,
huna haja ya kuweka historia ya dr slaa upya humu jf. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya dr slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na membe leo amewachana live kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya ccm ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya dr slaa.
pita zako punguani mkubwa,kutwa kujiuza kwa kambi za urais,mara Lowasa,Mako na leo Membe.achana na sisi tunaojielewaMleta mada,
Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
dr.slaa ni lina atafunga ndoa na josefin mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu
uzi umewekwa kwa nia njemaSamahani naomba kuuliza kama BANDIKO lako lina baraka zote toka KURUGENZI YA HABARI ya CHADEMA?
ungekuwa wewe ungeweza...
Mleta mada,
Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
tazama wanavyopishana kumtukana.hawana hoja nyingineKiukweli dr ndo kiboko ya ma ccm na tanzania
Dr.Slaa ni lina atafunga ndoa na Josefin Mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,Kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu
embu ulizeni mambo ya msingi kuhudu rais mtarajiwaWakuu katiba ya sasa inaruhusu mapadri kugombea urais au?
Slaa atuambie sababu iliyomfanya akafukuzwa upadri
Mleta mada,
Huna haja ya kuweka historia ya Dr Slaa upya humu JF. Sijui weweni mgeni ama vipi, lakini tayari historia ya Dr Slaa ipo humu kabla ya kushindwa kwake uchaguzi wa mwaka 2010.
Haya yote unayofanya hapa ni marudio tu. Na Membe leo amewachana LIVE kuwa hao wafalme wenu ndio wanafanya CCM ushinde kwa kishindo katika kila uchaguzi. Naona na wewe kwa akili zako ndogo unarudia yale yale.
Invisible...tafadhali unganisheni uzi huu na ile uzi ya kipindi kile ya Dr Slaa.
Wakuu katiba ya sasa inaruhusu mapadri kugombea urais au?